sonyericsson w900i

kasambalakk

Senior Member
Apr 2, 2011
125
17
habari za mida hii wana jamii forum.
jamani naomba msaada ya kupata software ya kuflash sonyericsson w900i na jinsi ya kuflash hio simu coz cable yake ninayo na internet ipo vizuri

asanteni wana jf
 
si mara zote cable unayopata kuunganisha na computer inaweza kukusaidia kuflash simu yako, mara nyingi hiyo cable husaidia ku-share files btn your phn & pc. Nakushauri uweke tatizo linalokusumbua hapa waweza kupewa hata code na ukafanya hard resert.
 
asante ndugu
simu yangu inazingua sana network inakataa sana najua sio network problem na pia huwa inastack sana hadi inabidi nizime na kuwasha inakuwa nzito sana kama kuna virus wamejaa hata nikitoa memory kadi bado ni vile vile ndugu

please naomba hizo codes dah natamani hata leo ni reset hii simu kaka...

kifupi simu ni nzito kama nini na pia huwa na beba vitu vingi san kwenye computer tofauti
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom