Sony vaio 64-bit

ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Nawasalimu wana-tech wa Jamii Forums,

Nimepoke computer ya sony vaio model:VPCCB26EC ina processing power ya 64-bit, imekuja pre-installed na windows 7 ultimate 64 bit....but then imekuja na tatizo kubwa zaidi kwamba INATUMIA LUGHA YA KICHINA, nimeingia kwenye control panel (regions and language) nimebadili display language as well as the input language from chinese to english...kuna features zimebadlikia kama maneno yanayosomeka kwenye welcome screen wakati computer ina-boot, previously yalikuwa chinese then sasa hivi yapo in english! ila bado features zingine nyingi zinasoma kichina...kuna hadi program zingine ukiwa una-install inakuletea installation wizard ya kichina.
Nimejaribu kutafuta OS ya 64-bit nimekosa then Baada ya kugundua OS ya 32-bit inakaa fresh tu kwenye system architecture ya 64-bit nikaamua kufanya fresh installation ya win 7 proff 32-bit kwenye system ya 64-bit...imekaa fresh lakini drivers nyingi zime-miss, na nikijaribu kutafuta driver za hiyo model ya sony hapo, wananiletea driver ambazo ni compatible ni win 7 proff 64-bit...I have been working on this the whole day bila mafanikio!
Naomba msaada wenu Wataalam wenzangu...kwa mawazo na hata kwa software, NTASHUKURU SANA!
 
Kama una muda wa kukesha na kusubiri follow the link ''http://drp.su/'' download the driver park solution ( warning its damn big file) hila humo kuna kila aina ya drivers. Hapa nilipo mimi nina copy ya window7 64bit and a drivers CD ambayo ina drivers zote za windows XP to 7 ya kila computer trouble is i dont know how to upload it hapa.
 
nipo na hii kitu haijawahi goma kwa machine yoyote, kama uko interested niambie nitakupatia copy
 
Nimeitafuta sana hiyo OS ya windows 64-bit Zinjathropus, if there is a way ya kunisaidi niipate hiyo OS...let me knw plz!
 
Kama driver ya device gani ambayo imekusumbua kupata.?

Otheriwsie kulingana na hardware unayotaka driver zake jaribu kubahatisha kwa kupekua na kupakua hapa ftp://ftp.vaio-link.com/PUB/VAIO/WIN7UPGRADE/

chaguua zenye XXXXX _32_XXXXXXXX

Mkuu nimezijaribu zote hizo...but zinaleta the same msg, "your system does not meat the specified requirements for this software", sasa cjaelewa kama ni OS inazikataa hizi driver au specs za PC....driver za graphics na network ndo zina-miss, nimetest karibu driver zote za graphics hapo juu...no success!
 
Mkuu fafanua zaidi nenda kweye computer management usome model ya hadware ya hizo unazohitai madereva wake .

Ukijua hasa aina ya VGA card na wireess card iliyomo kwenye hiyo sony itakuwa rahisi kidogo uzipata. Maan unaweza kwenda kjaribu hata site za watengezaji wa chip zenyewe
eg Atheros Wireless LAN Driver (Wireless) , ATI Geforce (VGA)

Lakini kama ungekuwa na net nzuri ungepakua tu ile pack ya drivers aliyokushauri jamaa pale juu . Othrwise mwaga data zaidi tuusadie kuzitafuta
 
Nawasalimu wana-tech wa Jamii Forums,

Nimepoke computer ya sony vaio model:VPCCB26EC ina processing power ya 64-bit, imekuja pre-installed na windows 7 ultimate 64 bit....but then imekuja na tatizo kubwa zaidi kwamba INATUMIA LUGHA YA KICHINA, nimeingia kwenye control panel (regions and language) nimebadili display language as well as the input language from chinese to english...kuna features zimebadlikia kama maneno yanayosomeka kwenye welcome screen wakati computer ina-boot, previously yalikuwa chinese then sasa hivi yapo in english! ila bado features zingine nyingi zinasoma kichina...kuna hadi program zingine ukiwa una-install inakuletea installation wizard ya kichina.
Nimejaribu kutafuta OS ya 64-bit nimekosa then Baada ya kugundua OS ya 32-bit inakaa fresh tu kwenye system architecture ya 64-bit nikaamua kufanya fresh installation ya win 7 proff 32-bit kwenye system ya 64-bit...imekaa fresh lakini drivers nyingi zime-miss, na nikijaribu kutafuta driver za hiyo model ya sony hapo, wananiletea driver ambazo ni compatible ni win 7 proff 64-bit...I have been working on this the whole day bila mafanikio!
Naomba msaada wenu Wataalam wenzangu...kwa mawazo na hata kwa software, NTASHUKURU SANA!

Maelezo yako yapo clear, ila kwa ushauri wangu ungebaki na window ya bit 64 (new installation), drivers za bit 64 ni rahisi zaidi kupata ingawa software nyingine zinakataa kukaa kwenye windows za bit 64
 
Akhsante mkuu...ila window ya 64-bit cjafanikiwa kuipata though PC yenyewe ilikuja na win 7 ultimate ambayo tatizo moja tu ni kwamba hiyo window iliandikwa (coded) kwa kichina.
 
Acha uvivu wewe,nenda kwenye matorrents site, search windows seven ultimate 64bit..piga chini iliyopo na weka ulodownload. Mbna easy tu.
 
i hope umeshapata solution. ulibugi step pale kwenye locations. ilikuwa uweke us au uk ili kila kitu ki install kwa english na sio kichina
 
Back
Top Bottom