Sony professional video camera dcr-9000e 3ccd

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
SONY Camera ya kazi ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na ipo tayari kwa kuanza kazi.Kama mnavojua kampuni ya SONY ni moja ya kampuni zenye kusifika.

Camera hii itaambatana na Cassette 20 ambazo pia zimetumika lakini bado zina maisha marefu kwasababu ya matunzo mazuri pamoja na Camera yenyewe.Na itaambatana na betri 4 pamoja na remote control na begi la kuhifadhia Camera pamoja na vifaa vyote.

Bei yake ni shs 1.5 milioni na kwa ununuzi tafadhali uwasiliane na HABIBU 0717810318.Camera hii imewasili kutoka Uingereza na ipo Bongo.

Specifications:
Format DV System
Cassette Standard DV Cassette
Video Recording System Digital Component Recording
Video Sampling Frequency/
Quantisation Luminance Signal: 13.5 MHz, 8-Bit R-Y or B-Y Signal: 6.75 MHz, 8-bit

Audio Recording System PCM Digital Recording PCM Digital Stereo Rec 12-Bit/32 kHz/16-Bit 48kHz
PCM Stereo Playback 12-Bit Mode/16-Bit Mode Audio After Recording 12-Bit 32kHz Mode Lens Variable Speed 10x Zoom Lens F 1,6, f=5.9 to 59mm Digital Zoom Variable 20x
CCD 1/3" CCD: 470,000 Pixels x 3 (RGB) Minimum Illumination 4Lux (0.1 Lux with Slow Shutter)
Built-In Microphone One-point Stereo Type Directive Switchable (3 position)


Terminals:
Video Output Yes (In/Out) Audio Output Yes (In/Out) DV Input/Output Yes (In/Out)
External Microphone Input Stereo Mini Jack Headphone Output Stereo Mini Jack
LANC Terminal Mini- Jack Power Supply AC-V615 + DK715 (AC Adaptor)
NP-F930 (Lithium Ion Battery)


General: Power Consumption: 11.6W
Dimensions(W x H x D): 216 x 225 x 470mm
Weight: 3.4kg

$(KGrHqRHJD!E9!ZW0LRUBPWGuTg,FQ~~_35.jpg DSC00645.JPG DSC00647.JPG
 
Ndugu nili ku PM vipi ile ishu yetu umecheck au bado

Mfiachi usidhani nimekusahau ila natafuta ambayo yenye bei kidogo chini kwasababu bei zake mpaka sasa ni kali au kama vipi labda uniambie bajeti yako ipo vipi halafu nione kama itawezekana kuipata kwa uwezo wako ulio nao pamoja na kutuma mzigo vilevile.
 
Back
Top Bottom