Sony Bravia 37ex723 inauzwa

Kapuku83

Senior Member
Sep 8, 2012
146
35
Wadau nauza tv ya sony Bravia 37EX23, ni kutoka Uk imeingizwa nchini week mbili zilizopita,ni brand new ina internet widget,LED,WIFI,HDMI and 3D kwa yeyote ambae yuko interested ani PM
 
Weka bei na picha mkuu,najua toleo ili ni la end of 2011 na Uk zinauzwa kati ya £750 mpaka £900 so naamini hautauza kwa bei ya tamaha
 
Weka bei na picha mkuu,najua toleo ili ni la end of 2011 na Uk zinauzwa kati ya £750 mpaka £900 so naamini hautauza kwa bei ya tamaha

Mkuu uko sawa,ili ni toleo jipya na ina features nyingi sana,sitauza kwa bei ya tamaha ila pia ni ngumu kuuza kwa bei ulizotaja maana si unajua kuna shipping na hapa nyumbani wanakuchapa ushuru wa kutosha tu,so angalau nirudishe hela yangu na nipate hela ya maji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom