PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,724
- Thread starter
- #21
Hizi zitakuwa zilifichwa na majambazi/wezi baada ya kuibiwa au ni wale watu wasiojua maana ya benki wamefariki na kuziacha chini ya ardhi.
Sivyo Charity!..
Ni kwamba zinatokea kila baada ya muda fulani, zinang'ang'aniwa, zinaisha, zinatokea tena, ndo maana watu wamehamia hapo wanasubiri!...kuna utata fulani na hii maneno!