Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
Moja ya status kwenye Group ya Wanasongea Facebook dakikia 26 zilizopita: "Jaman ya jana yale POlisi na wananchi Ruvuma mabomu yameanza kutumika tena mungu tunusuru jaman sahizi tunarudije nyumbani jaman jaman Songea tunakwisha!"
Alipoulizwa kama yameanza tena anadai: "Sahizi jaman ni ghafla tu kazi zimeanza mabomu yanarushwa huko nje nipo hapa ofisin kwetu tumejifungia ndani hakutokeki kabisa."
Log In | Facebook
Mungu wangu,nimesisimka baada ya taarifa hii! Kwanini hivi?kwanini haya?yataisha lini?