Songea: Leo CCM wanafanya mkutano wa hadhara, kesho CHADEMA

[Afadhali mi sio mwanaCCM vinginevyo ningekuwa nimeshajinyonga.....
 
Mgonjwa yuko taabani,anajitahidi kuinuka lakini wapi,tunaandaa sanda tu ya kumzikia maana hana matumaini ya kupona tena,R.I.P chama cha magamba.
 
Hahahaha nafarijika jinsi vijana wa chadema tunavyojitoa kila mkoa... ni ari ya aina hii imesaidia kuondioa tawala dhalimu Tunisia, Misri, Cote' d'Ivoire na sasa Yemen, Syria, Libya, Aluta Kontinua .......
 
Nimeambiwa ccm wamekopa pesa bank kwaajili ya kuwalipa watu wa kwenda kwenye mkutano.hivyo nawashauri wananchi wazichangamkie hizo pesa za nguvu.ni nape katuma kupitia account ya mwenyekiti wa ccm mkoa na waziri nchimbi.chadema inatisha



Safari hii tutapata uzushi wa kutosha.Usijifariji,tambua CCM haijafa bado nzima na wapiga kura wake ndio hao walioko Vijijini huko.Kipimo cha umaarufu wa chama ni box la kura na si mikutano hivyo jiandae kulinda box la kura ili upate kipimo cha umaarufu wa chama chako.Mzee naona unamasaa machache tu toka ujisajiri karibu kamanda.
 
Huyo Nchimbi n kawaida yake, mara kwa mara anafanya hvyo pale CDM wanapotaka kufanya mkutano. Nakumbuka mwaka jana nilikuwa hapo majengo p/s nchimbi kakusanya wamama kbao toka sehm tofaut kwa malor kuja mkutanon na kuwagawia elf 2 kila m1.
Sijui kwa kuwa yy n wazr ama ndo nn sasa. Nashukuru CDM last electn hapo songea mjini tulpata kata 5 kati ya 11.

Sasa mtu mwenyewe huyo Nchimbi shule yake ndiyo hizo Masters na PhD za online tena from unaccredited bogus universities unategemea nini kichwani?????
 
yaani CCM ni kama timu isiyona mabeki maana mashambulizi makali beki zinagongana tu
 
Safari hii tutapata uzushi wa kutosha.Usijifariji,tambua CCM haijafa bado nzima na wapiga kura wake ndio hao walioko Vijijini huko.Kipimo cha umaarufu wa chama ni box la kura na si mikutano hivyo jiandae kulinda box la kura ili upate kipimo cha umaarufu wa chama chako.Mzee naona unamasaa machache tu toka ujisajiri karibu kamanda.

we unaongea nin bana
 
Chadema inawaumiza kichwa sana CCM! Kwanini na vyama vingine vya upinzani visiungane kuimaliza kabisa CCM?
 
Songea wanajali jamani!


attachment.php
 

Attachments

  • Songea.jpg
    Songea.jpg
    69.4 KB · Views: 107
Safari hii tutapata uzushi wa kutosha.Usijifariji,tambua CCM haijafa bado nzima na wapiga kura wake ndio hao walioko Vijijini huko.Kipimo cha umaarufu wa chama ni box la kura na si mikutano hivyo jiandae kulinda box la kura ili upate kipimo cha umaarufu wa chama chako.(Mzee naona unamasaa machache tu toka ujisajiri karibu kamanda).

Kwenye mabano hapo!
Kila mtu ana uhuru wa kujisajili na ni bure ili mradi havunji kanuni na taratibu za JF
Hata wewe ulikuwa na kamba mguuni.
 
Back
Top Bottom