somo la uchoraji

Blaine

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
2,275
1,655
please changieni opinion zenu. hawa ni wanafunzi wa uchoraji (painting)
4f3aaa94beb4a.image.jpg huyu ni dada halisi sio mwanasesere
 
Na hiyo ni topic on how to render curves and hyperpolic paraboloid curves...hiyo kitu huwa balaa anapoletwa mwanamke wa ki-africa mwenye minyumbuliko mwili mzima...utata mtupu na lazma nusu 3/4 ya male students wanafeli somo hili.
 
Kama uchoraji wenyewe ndio huo basi hicho chuo kina wanafunzi wengi wafanya ngono
 
Nilikuwa napenda sana kuchora na upakaji wa rangi. Picha zangu zilikuwa zinakubalika sana kwa waalimu. Mambo ya kuchagua masomo yakafanya niliache hilo somo kwa shingo upande.
 
Back
Top Bottom