Somo kutoka Maputo: Waziri Mstaafu Afungwa

Haitatokea Tanzania.mahakama zetu a big joke,malawyer ni mafisadi wakubwa,
hakuna rule of law,ipo tu kwa vibaka wa Kariakoo.
Wazungu wa Unga,mafisadi wa BoT nobody will touch them.Watageresha tu kwenye hizi mahakama ambazo zimejaa watu wa system,TAKUKURU yenyewe ni wastage of time.

We are doomed,Chukua Chako Mapema!
 
HAKUNA Usalama Wa Taifa Tanzania, maana kesi kama hizo mpaka zifanikiwe ina maana UWT lazima wafanye kazi yao wakiwa fair na wala sio kwa shinikizo la mkuu wa nchi,
kwa Tanzania ni Ngumu sana
 
Oh no...the messenger matters just as much as the message.
I agree with you, the quality of a message depends on the quality of the mesenger (eg The gurdian and Uwazi) I am sure the person started the thread understands very well how to quote and to refer text material, may be he did this puposely for whatever reason only known by him.
 
Kumbe uwanja huu unaweza ukacheka, companero na Nyani Ngabu ebu endeleeni kidogo.

Tanzania is only possible kama CCM itatoka madarakani na kuingia chama kisafi.
 
inaniuma sana nchi yangu tanzania inawalea mafisadi,itakuwaje kila mtu akiwa fisadi kwenye serikali....tuige wenzetu..watoto wetu wataumia sana
 
Back
Top Bottom