Sometym hii tab haitaki kukloz je ni normal au?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Hii ni ile tab(sizani kama niko sawa) yaani zile information za mobile broadband nnapodisconect modem na kutaka kukloz inagoma ila inakubali kuminimize tu ila haitoki labda nikizima na kuwasha laptop ndio inatoka hivi tatizo nini au ni sawa?
 
Back
Top Bottom