'Sometimes the Cover Can Judge the Book'..ryte???

mnasema ati kazini, mtaani, sijui kanisani e.t.c...njoo kwenye centre ya vituko...Higher Learning Institutes...acheni tu!
mpaka CBE wamepiga ban hivyo "vipande vya nguo" watu walikuwa wanavaa terrible!
huku kitaa kuna kivazi kinanikera beyond explanation...zile gauni ndeeeefu alafu zinachomekewa kwenye c.HU.pi kama vile anataka kucheza "rede"...

kwani kujiexpose mchana mchana ni lazima lakini....aghrrr..anyway tatizo wengine wakiambiwa hawasikii
 
i see......

Mtazamo wangu ni 50/50.....

Mavazi inategemea na age......
Mahala pia......
Na mazoea.......

Kwa upande wangu sina tatizo na min skirt as long as hazijaishia chini ya **** kama ya wema.......??
 
Usemi wenyewe unasema 'Dont judge the book by its cover'..actually unaweza sometimes kuwa una maana iliyokusudiwa!..but believe me the viceversa might also be true..najua mtabisha!!..Any way ni hivi..'Niko na mdada flani hapa kibaruani kwetu kwa kweli anatupia pamba za ajabu sana..yaani kama ni sketi ni ile fupi sana..na kwa sababu ni kampuni ya watasha hakunaga mambo ya dressing code na maisha yanaendelea kama kawa japo maumivu tunayasikilizia...

Sasa juzi huyu mdada alikuwa analalamika 'ooh wanaume malaya sana..yaani wananitongoza kila siku na wengine hadi waume za watu'..nikamuuliza kwa nini..akasema ..'sijui..labda ni tabia mbaya zao tu'..nikamwambia labda kwa vile unavyovaa nasty ndio wanakuchukulia poa kwamba na wewe ni style cha chips funga..akang'aka sana..na akasema 'wajinga tu hao..why should they judge a book by its cover'??..nikacheka tu nikamuacha!

Sasa katika kutafakari nikajiuliza maswali haya..
1.Hivi ukienda Jolly au pale Ohio wale ndugu zetu wa upande ule utawatambuaje?
2.Hivi ukienda hospitali wale jamaa wanaogoma kila siku utawatambuaje??
3. Hivi ukienda parokiani wale ndugu zetu ambao wameamua kidude kisitumike utawatambuaje??
4.Hivi ukienda kwenye show za fiesta wale jamaa wabana pua na ubongo wa fleva utawatambuaje??

Tuwe makini jamani na haya mavazi...kama hatumaanishi kwa nini tusitupie pamba decent??????

69159_513236828706121_2098349589_n.jpg
my pacha nimeona nikuongezee picha kwa uelewa mzuri wa mada!nimeitoa humu humu
 
Back
Top Bottom