Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,033
Utingo....ni sawa_ila kwa sababu wanawake ni kama maua,....usafi na sura kidogo muhimu bhana,..............
ukiwa smart upstairs huwezi kuwa mchafu. baadhi ya wanawake siku hizi wanaangalia sana vitu vya nje vya kung'ang'aa; that is my msisitizo mkuu!