Somesha mtoto mmoja tu- ungana na maelfu kubadili nchi/taifa

Mar 5, 2012
92
23
NALIA, NALIA NALIA,NALILIA.
Leo naanza safari ndefu, mwaka jana nilipata habari za bintialiyeacha shule baada ya kushindwa kujilipia karo. alifaulu shule ya msingi,wazazi hawajiwezi, akawa anafanya kazi za ndani, anapata ada, anachelewa kwendashule kama miezi miwili,lakini akifika shuleni, ukija mtihani anakuwa ndani yatano bora. Alipofika kidato cha tatu, alishindwa, akaolewa. Iliniuma sana sana.Nilidhamiria kuwa nitaanzisha huduma inaitwa SOMESHA MTOTO MMOJA.
Tafakari Mungu amekupa mangapi, lakini unaweza kuchangia shs150,000 au pungufu kwa mwaka na ukasomesha mtoto mmoja,ukabadili maisha yake,na taifa letu. Kwa nini wakati wote wafadhili watoke nje.
PAMOJA NA MATATIZO YANGU kiuchumu, leo hii nimeanza safari.Natuma ada ya muhula wa kwanza kwa mtoto aliyepo Mbulu, hana uwezo, lakiniakiwa kidato cha kwanza darasani alikuwa wa tatu. Fedha ninayotuma haizidi50,000. Lakini kwake ni msaada mkubwa. KAMA UNAPENDA KUMRUDISHIA MUNGU kwa memaaliyokutendea, naomba jitokeze, na muda si mrefu tutaanza mpango maalumu waSOMESHA MTOTO MMOJA. Wahitaji Wote watathibitishwa na serikali za mtaa, nashule husika. Mlipaji ukijulikana utapewa mawasiliano ya shule na utalipashuleni moja kwa moja mahitaji ya Yule motto. Kumbuka 150,000 ni kiasi ambachoni kama vile kutenga 12,500 hivi kila mwezi. Ungana name, TUSAIDIE WALIOPEMBEZONI. Mungu amekupa wewe uwezo kwa kusudi maalum.
Mawazo pia yanakaribishwa kabla ya mpango haujazinduliwarasmi.------Tunaweza kuchangia sherehe Mbalimbali, hili nalo lipo ndani yauwezo wetu.
Mpango huu utaratibiwa na Kampuni ya TRUE ROAD TECHNOLOGIESLIMITED.

Christopher Andendekisye,
Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi,
TRUE ROAD TECHNOLOGIES LIMITED.
+255 0656 487215

Pia Mwanzilishi wa SOMESHA MTOTO MMOJA PROGRAMME

Mungu awabariki sana.
 
Wazo zuri na naungana na wewe. Now nipo kwenye taratibu za awali za kumsomesha binti mmoja aliyefeli kwenda sekondari kwa mwaka huu japo ana uwezo mkubwa sana kitaaluma.
 
mkuu this is very good move, na Mungu muumba mbingu na ardhi atakubariki sana!! tuko pamoja.... nakushauri kuwa wote watakao kuunga mkono waregister uwasiliane nao kwenye PM kwa ajili ya ufuatiliaji (kukumbushana) mm niko papoja na wewe!!!
 
Nimependa wazo.
Ushauri nje ya mada: Waambie ma-mods wakuweke wewe ni verified user. Coz nimeona hii kitu kwa facebook pia.
291737_4439563259574_432919923_n.jpg
 
Wazo zuri na naungana na wewe. Now nipo kwenye taratibu za awali za kumsomesha binti mmoja aliyefeli kwenda sekondari kwa mwaka huu japo ana uwezo mkubwa sana kitaaluma.
.

Nakupongeza kwa uliloamua, hakika unabadilisha maisha ya huyo binti, kizazi chake, na taifa kwa ujumla. Kama hutajali tunapenda kupata taarifa kama hizi, jina lako, jina la mlengwa na kilichokusukuma. Halafu wewe tunakutangaza kwenye programme yetu, na habari ya anayesaidiwa tutaiweka pasipo kutaja jina lake. Hii itasaidia na wengine kuhamasika kujitokeza kuomba msaada, na pia wengine wajitokeze kusaidia.

Misaada hii imekuwepo, lakini lengo sasa ni kuwa iwepo sauti ya kitaifa ya kusaidia wenye uhitaji. Nani afanye kama sio sisi.....TUANZE, WATAFUATE.
 
Back
Top Bottom