Someni hiyo ya Mwl. J. Nyerere nimeicopy facebook

Sioni ambacho kinafanyika sasa alichokisema Nyerere, ni kipi hicho? Ardhi yote Tanzania ni ali ya Serikali. Nani mwingine mwenye miliki ya Ardhi? sana sana tuna lease tu kutoka Serikalini.

Hivi wewe akiri yako iko wapi?
 
Sijakiona cha maana hapo. Sheria za ardhi zinazotumika leo ni hizo hizo alizoziacha, lease ya miaka 33, 66, 99 ilianzia kwake.

Ukiondoa Serikali hakuna mwenye Ardhi kubwa Tanzania zaidi ya Kanisa Katoliki. Jee yanini? kwanini? wao ni wawekezaji au wachungaji wa kondoo?

Sijui watu wengine mmerogwa? hivi kipi cha maana alichokifanya Nyerere zaidi ya kuwazidishia watu umaskini?

Maada iliyopo ni uuzaji wa ardhi kwa wageni. Serikali ndio mmiliki wa ardhi yote hadi sasa kama unavyosema. Sheria ya lease si tatizo kama ardhi inabaki mikononi mwa Serikali na kugawiwa kwa taratibu zinazoeleweka na zisizo na ubaguzi kwa Watanzania. Unapolitolea mfano Kanisa Katoliki kwa mtazamo hasi huna budi pia kuthibitisha kwamba lease yao imepatikana katika mazingira ya kibaguzi. Hapo tutakuelewa vizuri.
 
Ni Ardhi ipi iliyotolewa kwa mazingira ya kibaguzi?

Msijaribu kuharamisha visivyo haramu na kuhalalisha visivyo halali.

Serikali katika mipango yake imeshaweka viwanja vya ibada, vipi kanisa Katoliki lipewe ardhi katika kila wilaya (kama si kila kijiji) ya Tanzania, nje ya sehemu zilizowekwa kihalali kwa ajili ya matumizi ya ibada? kuna uhalali hapo?
 
Ndio ila hawana madaraka serikalini,wapo na ukitaka kuwapata nenda vyama vya siasa vya upinzani na NGO's.Ni watanzania kuamka na kuwapa madaraka kabla uuzaji wa nchi haujakamilika.
 
Ni Ardhi ipi iliyotolewa kwa mazingira ya kibaguzi?

Msijaribu kuharamisha visivyo haramu na kuhalalisha visivyo halali.

Serikali katika mipango yake imeshaweka viwanja vya ibada, vipi kanisa Katoliki lipewe ardhi katika kila wilaya (kama si kila kijiji) ya Tanzania, nje ya sehemu zilizowekwa kihalali kwa ajili ya matumizi ya ibada? kuna uhalali hapo?
Hilo si tatizo. Wakati wa Mh AH Mwinyi misikiti ilijengwa hadi kwenye uchochoro lakini hujasikia mtu akilalamika. Kanisa Katoliki kama lipo kila Wilaya hiyo si hoja inayojadiliwa hapa... usipo tahadhari utakuja pasuka moyo kwa vijiba, pole sana
 
Nchi gani inayongozwa na usalama wa Taifa, chakachua kura, kuingilia mahakama, kunyanyasa wapinzani, kubambikiza kesi wapinzani, ufisadi na kuuza ardhi kama njugu.

Kuna sehemu ukisema wewe ni CCM hata walio CCM wanakushangaa kwa ujasiri huo
 
This guy was a genious. All speeches made by him are still valid though most were made before 1985 when he retired!! Hatupati mwingine aliyependa wananchi wake kwa dhati kama Nyerere. Anaweza kuwa alikuwa na makosa yake lakini mazuri pia ni mengi sana.
Hivi huyu Jamaa ilikuwa mwaka 1958 kawaza haya na leo ni miaka zaidi ya hamsini yanatendeka haya, Swali, je tunaviongozi wa kuwaza hivi?

View attachment 53960
 
Back
Top Bottom