Someni hapa kina dada...

sasa hapa mnatuchanganya, mara unprotected sex is good for you, mara UKIMWI mwe!

Mrembo, hapo chagua mwenyewe cha kufanya, fanya unprotected sex uondoe depression ila uambulie magonjwa au fanya protected sex ubaki na ma-depression yako lakini uondoke na magonjwa hatari. Chaguo ni lako, you are free to trade-off between the two ....
 
Last edited by a moderator:
Ipo research nimefanya inaonesha 'doggy style
ndio the best sex style haswa kwa kina mama lol'

ngoja nami nije na ya kwangu, hypothesis ni kwamba "mwanaume anayehonga, anaenjoy sex zaidi ya yule asiye honga; kwani anachokihangaikia anakifurahia zaidi kuliko cha bure"

halafu seriously, nimesoma sehemu about chimpanzee behaviour, kwamba male wanawinda wanyama halafu wanatumia minofu kama hongo kwa she-chimps!
 
Duuuu, sijui nianzaje kuchangia, anyway hii ni study ambayo finding zake zinaweza labda kuwa ni za kweli. Lakini hapo nilipopigia mistari inaonyesha wazi kuwa mahusiano ya kingono yasiyotumia kinga husaidia sana kuondoa "depression" na hivyo ni kama method nzuri ya kupunguza "depression" kwa watu!

Wasiwasi wangu ni kuwa inaezekana tafiti imetupa solution ya kupunguza depression na wakati huo huo ikaturudisha tena kwenye unprotected sexual behaviours ambazo zitatudumbukiza kwenye dimbwi la gonjwa la UKIMWI na magongwa mengine yanayotokana na kujamiiana. Naona wazi tafiti inatofautiana na kampeni dhidi ya kutokomeza UKIMWI.

Hii haitofautiani kabisa na kampeni ya ukimwi....inafaa zaidi kwa kigezo cha kuwa na mwenzi mmoja umwaminie....
 
ngoja nami nije na ya kwangu, hypothesis ni kwamba "mwanaume anayehonga, anaenjoy sex zaidi ya yule asiye honga; kwani anachokihangaikia anakifurahia zaidi kuliko cha bure"

halafu seriously, nimesoma sehemu about chimpanzee behaviour, kwamba male wanawinda wanyama halafu wanatumia minofu kama hongo kwa she-chimps!

hiyo ni true
ilishafanyika
halafu sio nyama bana
hao chmps wanakwenda kutafuta ndizi
wakizipata wanamlisha she chimps halafu she chmps wanalainika
kinachofuata ni 'game' la kufa mtu lol
very true niliona bbc...
 
Wewe unahonga?
 
ngoja nami nije na ya kwangu, hypothesis ni kwamba "mwanaume anayehonga, anaenjoy sex zaidi ya yule asiye honga; kwani anachokihangaikia anakifurahia zaidi kuliko cha bure"

halafu seriously, nimesoma sehemu about chimpanzee behaviour, kwamba male wanawinda wanyama halafu wanatumia minofu kama hongo kwa she-chimps!

Kuna umuhimu uongoze utafiti huu....washiriki wapo wa kutosha....
 
Kaunga, The Boss, Vin Diesel, Mwali, Kongosho na wengineo, cha muhimu na cha kujiuliza kwenye hii research ni kuwa, je ni kweli wanandoa walio wengi hawana depression simply kwa sababu wanafanya unprotected sex compared na wale wasio na ndoa ambao wana videmu na vibuzi na hivyo kulazimika kutumia protected sex? :redface:
 
Last edited by a moderator:
Kaunga, The Boss,Vin Diesel na wengineo, cha muhimu na cha kujiuliza kwenye hii research ni kuwa, je ni kweli wanandoa walio wengi hawana depression simply kwa sababu wanafanya unprotected sex compared na wale wasio na ndoa ambao wana videmu na vibuzi na hivyo kulazimika kutumia protected sex? :redface:

Good one!
 
Mkuu kuwa na ndoa haimaanishi watu wanafanya ngono....wapo walio wengi wanaondoa depression kwenye nyumba ndogo ambako wizauti kondom inahu zaidi.....
 
Hivi kuna mwanaume asiehonga?
tofauti ni viwango tu
hata nikikupigia simu si inatumia pesa?
sasa hapo si nimetumia pesa kuongea na wewe?

Hiyo si kuhonga bwana, hivi hujui kuna wanaume wanahongwa? Nenda love connect uone mabandiko ya kutafuta wamama wa kuwalea vijana!

Kuhonga inaanzia na trip ya visiwa vya madagascar au usheli sheli. LOL
 
Good one!

Not good enough....kuwa kwenye ndoa hakumaanishi una practice wizauti kondom na mume/mke wako na nje ukatumia kondom....kwasasa walio ndani ya ndoa ndio wapiga wizauti kondom nje kuliko singles....
 
Hiyo si kuhonga bwana, hivi hujui kuna wanaume wanahongwa? Nenda love connect uone mabandiko ya kutafuta wamama wa kuwalea vijana!

Kuhonga inaanzia na trip ya visiwa vya madagascar au usheli sheli. LOL

kumbe hata Kilwa sio kuhonga? lol
poor me
 
Hiyo si kuhonga bwana, hivi hujui kuna wanaume wanahongwa? Nenda love connect uone mabandiko ya kutafuta wamama wa kuwalea vijana!

Kuhonga inaanzia na trip ya visiwa vya madagascar au usheli sheli. LOL

Tafsiri ni suala mtambuka sana....kukupigia simu,kukufuata,kukutoa out nk yote hayo yanaweza swihi kwenye tafsiri hiyo....
 
Back
Top Bottom