Submarines za Uingereza, Marekani, Urusi, India, Uchina na NATO ziko wapi ? Mbona hazipangiwi zamu pale Somalia ili kumaliza mzizi wa fitina wa wateka nyara meli au mapairetii ?
Hivi ni kweli askari wa wakubwa wakija pande hizi wanakuja kustarehe BIIIICHI ndani ya bahari na ndio maana wateka nyara wanawapiga harusi na chenga za maudhi ????