tukumbuke vita ya saddam kadri mataifa yalivokuwa yana lani na kadri wamarekani walivojifanya kutumia diplomasia lakini walikuwa wanalundika mivyombo yao,na haswa lile jidubwana wanaloliita boxer hilo likienda mahali halirudi bure,si rahisi kupoteza garama kulipeleka lile kama hakuna mpango wa vishindo,hapo vita itatokea na kuna wasomali walio nje ya somalia ambao wanaamini kuwa marekani inavizia tu itoe tiff halafu wakae hapo pwani milele kuangalia kisisafiri kitu kutoka nchi za africa kuja kwa hao magaidi,nikimaanisha hayo madini ya kutengeneza silaha za maangamizi,kwahiyo ndio washapata wakitafutacho,wataanzisha gomvi na baadae watajifanya wanalinda.