Soma yaliyomkuta dr slaa......uwe makini.

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
12,894
15,637
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.

Nimekuwa nikimsikia na kumwona kupitia vyombo mbali mbali vya habari Dr Slaa (MP-Karatu) kupitia CHADEMA akilalamika kuingiliwa kwenye mawasiliano yake ya email. Hususani email yake binafsi ya Yahoo.

Juzi nilimsikia Dr Slaa akilalamika kuwa marafiki zake wengi sasa wamekuwa wakipata emails kutoka kwake zikidai eti amekwama kule Lagos, Nigeria na hana hata senti ya kulipia hotel---hivyo, anaomba atumiwe dola kama 2,500 hivi..n.k..nk

Kusema ukweli, kilichommaliza Dr Slaa, pamoja na marafiki zangi wengine tu wengi ambao nao wamesha"lizwa" namna hiyo hiyo, ni kuhadaika na kujaza (kujibu) email ifuatayo hapo chini.

Basi!!. Hakuna kingine. Huyo ndio adui wa Dr Slaa, na si vinginevyo. So, yeyote atakayepata emil kama hiyo, aipuuzilie mbali..na kui delete fasta fasta.

1262079764_dr.slaa33.jpg

Pole Dr Slaa...pole rafiki yangu George...Charles..n.k

A S Kivamwo
www.ajaat.or.tz
Tel. 0786 300219

********************************************************************************
Yahoo Alert: Your Account Information Has Changed
Dear Valued Member,

Due to the congestion in all Yahoo!users accounts, Yahoo! would be shutting down all unused accounts. In order to avoid the deactivation of your account, you will have to confirm your e-mail by filling out your Login Info below by clicking the reply button. The personal information requested are for the safety of your Yahoo Account. Please FILL all information requested.

User name: ............................................
Password: .............................................
Date Of Birth: ........................................
Country Of Residence: ...........................

After you must have followed the instructions in the sheet, your Yahoo! account will not be interrupted and will continue as normal. Thank you for your usual co-operation. We apologize for any inconvenience.

Yahoo! Customer Care

Case number: 8941624
Property: Account Security
Contact date: 12-31-2009

HUYU BWANA AMEELEZA UKWELI KABISA MAANA HATA MIMI YASHANIPATA HAYA NIKAJAZA HAPO NA TOKA SIKUHIYO NIMEPOTEZA HIYO MAIL ADDRESS NA JAMAA WAMETUMIA CONTACT WALIZOKUTA HUMO NDANI KUWATAPELI NDUGU NA MARAFIKI,KWAHIYO WANDUGU KUWENI MAKINI,UKIIONA HIYO MAIL YA WARNING TOKA KWAHAO WANAJIITA YAHOO CUSTOMER CARE USIIJAZE IPUUZIE,VINGINEVYO UMELIWA
 
heri ya krismasi na mwaka mpya.

nimekuwa nikimsikia na kumwona kupitia vyombo mbali mbali vya habari dr slaa (mp-karatu) kupitia chadema akilalamika kuingiliwa kwenye mawasiliano yake ya email. Hususani email yake binafsi ya yahoo.

juzi nilimsikia dr slaa akilalamika kuwa marafiki zake wengi sasa wamekuwa wakipata emails kutoka kwake zikidai eti amekwama kule lagos, nigeria na hana hata senti ya kulipia hotel---hivyo, anaomba atumiwe dola kama 2,500 hivi..n.k..nk

kusema ukweli, kilichommaliza dr slaa, pamoja na marafiki zangi wengine tu wengi ambao nao wamesha"lizwa" namna hiyo hiyo, ni kuhadaika na kujaza (kujibu) email ifuatayo hapo chini.

basi!!. Hakuna kingine. Huyo ndio adui wa dr slaa, na si vinginevyo. So, yeyote atakayepata emil kama hiyo, aipuuzilie mbali..na kui delete fasta fasta.

1262079764_dr.slaa33.jpg

pole dr slaa...pole rafiki yangu george...charles..n.k

a s kivamwo
www.ajaat.or.tz
tel. 0786 300219
********************************************************************************
yahoo alert: Your account information has changed
dear valued member,

due to the congestion in all yahoo!users accounts, yahoo! Would be shutting down all unused accounts. In order to avoid the deactivation of your account, you will have to confirm your e-mail by filling out your login info below by clicking the reply button. The personal information requested are for the safety of your yahoo account. Please fill all information requested.

user name: ............................................
password: .............................................
date of birth: ........................................
country of residence: ...........................

after you must have followed the instructions in the sheet, your yahoo! Account will not be interrupted and will continue as normal. Thank you for your usual co-operation. We apologize for any inconvenience.

yahoo! Customer care

case number: 8941624
property: Account security
contact date: 12-31-2009

huyu bwana ameeleza ukweli kabisa maana hata mimi yashanipata haya nikajaza hapo na toka sikuhiyo nimepoteza hiyo mail address na jamaa wametumia contact walizokuta humo ndani kuwatapeli ndugu na marafiki,kwahiyo wandugu kuweni makini,ukiiona hiyo mail ya warning toka kwahao wanajiita yahoo customer care usiijaze ipuuzie,vinginevyo umeliwa
nimekusoma mkubwa.........
 
heri ya krismasi na mwaka mpya.

Nimekuwa nikimsikia na kumwona kupitia vyombo mbali mbali vya habari dr slaa (mp-karatu) kupitia chadema akilalamika kuingiliwa kwenye mawasiliano yake ya email. Hususani email yake binafsi ya yahoo.

Juzi nilimsikia dr slaa akilalamika kuwa marafiki zake wengi sasa wamekuwa wakipata emails kutoka kwake zikidai eti amekwama kule lagos, nigeria na hana hata senti ya kulipia hotel---hivyo, anaomba atumiwe dola kama 2,500 hivi..n.k..nk

kusema ukweli, kilichommaliza dr slaa, pamoja na marafiki zangi wengine tu wengi ambao nao wamesha"lizwa" namna hiyo hiyo, ni kuhadaika na kujaza (kujibu) email ifuatayo hapo chini.

Basi!!. Hakuna kingine. Huyo ndio adui wa dr slaa, na si vinginevyo. So, yeyote atakayepata emil kama hiyo, aipuuzilie mbali..na kui delete fasta fasta.

1262079764_dr.slaa33.jpg

pole dr slaa...pole rafiki yangu george...charles..n.k

a s kivamwo
www.ajaat.or.tz
tel. 0786 300219

********************************************************************************
yahoo alert: Your account information has changed
dear valued member,

due to the congestion in all yahoo!users accounts, yahoo! Would be shutting down all unused accounts. In order to avoid the deactivation of your account, you will have to confirm your e-mail by filling out your login info below by clicking the reply button. The personal information requested are for the safety of your yahoo account. Please fill all information requested.

User name: ............................................
Password: .............................................
Date of birth: ........................................
Country of residence: ...........................

After you must have followed the instructions in the sheet, your yahoo! Account will not be interrupted and will continue as normal. Thank you for your usual co-operation. We apologize for any inconvenience.

Yahoo! Customer care

case number: 8941624
property: Account security
contact date: 12-31-2009

huyu bwana ameeleza ukweli kabisa maana hata mimi yashanipata haya nikajaza hapo na toka sikuhiyo nimepoteza hiyo mail address na jamaa wametumia contact walizokuta humo ndani kuwatapeli ndugu na marafiki,kwahiyo wandugu kuweni makini,ukiiona hiyo mail ya warning toka kwahao wanajiita yahoo customer care usiijaze ipuuzie,vinginevyo umeliwa

ndugu yangu unatakiwa kutoa jina la huyo mtu pamoja na namba zake za simu hiyo ni mambo yake ya privacy na mtu alivyotuma ujumbe huo sehemu ile alitegemea privacy yake kulindwa naomba utue hiyo no ya simu na jina kama wengine wanavyofanya

thanks
 
Sijui huyi Sla anaishi wapi! vitu vya kizamani kama hivi hajavielewa? inaonekana bado mbumbumbu sana, tukimuachia nji hii ya tanzania si ndio tutakwisha? NooooooooooooooooooooooooooooChademaNooooooooooooooooooooooooo!
 
ndugu yangu unatakiwa kutoa jina la huyo mtu pamoja na namba zake za simu hiyo ni mambo yake ya privacy na mtu alivyotuma ujumbe huo sehemu ile alitegemea privacy yake kulindwa naomba utue hiyo no ya simu na jina kama wengine wanavyofanya

thanks
kitu gani hakijaeleweka hapo mkuu?habari imetolewa kama mwenyewe alivyotaka isomwe,asingetaka no ya simu itoke asingeweka,unajua vipi kama ana biashara na anataka jamaa wawasiliane nae?on top of that hii habari imekopiwa kwa shigongo ikiwa kama ilivyo,usitake kuniambia kwamba mtandao wa global publishers unasomwa kwa siri,nenda
tafuta hiyo habari kisha niambie kama nimeongeza au kupunguza neno hapo
 
Mbona kuingizwa mjini ni kitu cha kawaida tu,kwani Dr si binadamu kama binadamu wengine?
Hili tatizo lipo zaidi ya miaka mitano sasa! Sasa Slaa na ujuaji wake wote, kaingia kichwa kichwa. Ni jambo la kustajabisha sana kumtokea mjuaji kama huyu!
 
I dont see any logic behind this thread, mbona hizo email zipo nyingi hata mimi nikitaka ni-pest kwajina lako naweza. Halafu source zenyewe hazieleweki, inamaana wewe umeambiwa na aliyetuma email kwa Slaa au umetumiwa na rafiki wa Slaa. Halafu Slaa amelizwa vipi kaibiwa au akaunti yake imeingiliwa na ni akaunti ipi ya Tanzania au ya nje kama anayo. I think this is old fashioned politics and very cheap.
 
Slaa na ujanja wake wa kulipua mabomu kaingizwa mjini?

Kibunango unashangaa Dr. Slaa kuingizwa mjini? Mbona Muungwana aliingizwa mjini pale Arusha alipofungua hoteli ya kimataifa iliyojengwa kwenye eneo la barabara. Hata Sheikh Yahya nae kamwingiza mjini kwa kusema mtu yeyote atakae chukua fomu za kugombea urais atakufa!
 
I dont see any logic behind this thread, mbona hizo email zipo nyingi hata mimi nikitaka ni-pest kwajina lako naweza. Halafu source zenyewe hazieleweki, inamaana wewe umeambiwa na aliyetuma email kwa Slaa au umetumiwa na rafiki wa Slaa. Halafu Slaa amelizwa vipi kaibiwa au akaunti yake imeingiliwa na ni akaunti ipi ya Tanzania au ya nje kama anayo. I think this is old fashioned politics and very cheap.
babu hii tunapeana hints tu watu wajihadhari kama wakiipata,mwandishi aliyeweka nadhani amehisi kama dr slaa alijaza then jamaa wakamuibia password na ndio hao wanaotumia mail yake kwawatu wake wa karibu kuwaomba pesa wakijifanya ni dr slaa,hapa imefikishwa kwani hata mimi nilifungua tread kipindi cha nyuma kulalamika kuibiwa password na jamaa kuitumia kuwatapeli ndugu zangu na jamaa wa karibu,mbaya zaidi walifanikisha mara mbili.kwahiyo hamna politiki wala nini tunafahamishana tu,zingatia mi si mpenzi wa siasa na siifuatilii,HAPPY NEW YEAR
 
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.

Nimekuwa nikimsikia na kumwona kupitia vyombo mbali mbali vya habari Dr Slaa (MP-Karatu) kupitia CHADEMA akilalamika kuingiliwa kwenye mawasiliano yake ya email. Hususani email yake binafsi ya Yahoo.

Juzi nilimsikia Dr Slaa akilalamika kuwa marafiki zake wengi sasa wamekuwa wakipata emails kutoka kwake zikidai eti amekwama kule Lagos, Nigeria na hana hata senti ya kulipia hotel---hivyo, anaomba atumiwe dola kama 2,500 hivi..n.k..nk

Kusema ukweli, kilichommaliza Dr Slaa, pamoja na marafiki zangi wengine tu wengi ambao nao wamesha"lizwa" namna hiyo hiyo, ni kuhadaika na kujaza (kujibu) email ifuatayo hapo chini.

Basi!!. Hakuna kingine. Huyo ndio adui wa Dr Slaa, na si vinginevyo. So, yeyote atakayepata emil kama hiyo, aipuuzilie mbali..na kui delete fasta fasta.

1262079764_dr.slaa33.jpg

Pole Dr Slaa...pole rafiki yangu George...Charles..n.k

A S Kivamwo
www.ajaat.or.tz
Tel. 0786 300219
********************************************************************************
Yahoo Alert: Your Account Information Has Changed
Dear Valued Member,

Due to the congestion in all Yahoo!users accounts, Yahoo! would be shutting down all unused accounts. In order to avoid the deactivation of your account, you will have to confirm your e-mail by filling out your Login Info below by clicking the reply button. The personal information requested are for the safety of your Yahoo Account. Please FILL all information requested.

User name: ............................................
Password: .............................................
Date Of Birth: ........................................
Country Of Residence: ...........................

After you must have followed the instructions in the sheet, your Yahoo! account will not be interrupted and will continue as normal. Thank you for your usual co-operation. We apologize for any inconvenience.

Yahoo! Customer Care

Case number: 8941624
Property: Account Security
Contact date: 12-31-2009

HUYU BWANA AMEELEZA UKWELI KABISA MAANA HATA MIMI YASHANIPATA HAYA NIKAJAZA HAPO NA TOKA SIKUHIYO NIMEPOTEZA HIYO MAIL ADDRESS NA JAMAA WAMETUMIA CONTACT WALIZOKUTA HUMO NDANI KUWATAPELI NDUGU NA MARAFIKI,KWAHIYO WANDUGU KUWENI MAKINI,UKIIONA HIYO MAIL YA WARNING TOKA KWAHAO WANAJIITA YAHOO CUSTOMER CARE USIIJAZE IPUUZIE,VINGINEVYO UMELIWA

Nilishapata ujumbe kama huu kutoka Ufilipino ukinitaka nitume US$1,000 kwa mkurugenzi fulani wa Human Rights NGO hapa Tz na ulikuwa unaonesha kama ni kweli vile. Nilichofanya ni kwenda ofisini kwao na kuuliza kulikoni lakini niliambiwa ni message ni feki.

Hivi karibuni, nimepata ujumbe mwingine, ukiniomba nimsaidie classmate wangu, ambaye sas ni Catholic priest (nadhani yuko nje kimasomo), kiasi kama hicho pia. Nilichofanya ni kutuma hiyo message kwa classmates wote (maana tuna mtandao wetu na tunajuliana hali na kuhabarishana). Kama hujawahi kuupata, unavyoandikwa utadhani ni kweli kabisa na kama usipoangalia na una hicho kiasi kianchoombwa unaweza kutuma kabisa.

Kuna msema kwamba 'there're many ways of skinning a cat' - kwa hyo, matapeli nao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kutafuta fedha. Cha ajabu ni kwamba wahusika (wanaoomba huo msaada) mara nyingi ni watu amabo unawafahamu na inatokeaje, mfano, mtu kujua e-mail yako bila wewe kuwa na mawasilaino naye, hapo sijui kwa kweli!
 
kaka kinachotokea!hao jamaa hawakujui wala nini,ukijaza hayo maswali hapo unakuwa umewapa password yako,wanachofanya baada ya hapo,wanabadilisha password,halafu wanaweka yao then wanatuma mail kwenye contact walizokuta kwenye hiyo mail wakijifanya ni wewe unahitaji msaada umekwama mahali,mimi yamenitokea nikapuuza,ndugu zangu wawili wakalambwa mshiko mi sina taarifa,aliyenipa habari rafiki yangu mmoja maana jana yake nilikua nadance nae then jamaa asubuhi wakamtumia email*ooh mimi niko scotland nimekwama sinakitu nitumie pound 1000*akashangaa usiku wote kaniona then namwambia niko scotland nimekwama kivipi?alichofanya alikejeli na badae akanipigia simu kuniambia amejibu mail yangu kimatusi wale jamaa wakamtumia mail kwamba ooh jamaa kashasaidiwa hayupo hapa tena,bro mpaka sasa hiyo email ndio ilikua tegemeo langu sikujua haya,nimepoteza acc no,picha,password zangu zotee,mpaka ya blog yangu wamebadilisha na document muhimu sana,ni vyema tukajulishana tu
 
kitu gani hakijaeleweka hapo mkuu?habari imetolewa kama mwenyewe alivyotaka isomwe,asingetaka no ya simu itoke asingeweka,unajua vipi kama ana biashara na anataka jamaa wawasiliane nae?on top of that hii habari imekopiwa kwa shigongo ikiwa kama ilivyo,usitake kuniambia kwamba mtandao wa global publishers unasomwa kwa siri,nenda
tafuta hiyo habari kisha niambie kama nimeongeza au kupunguza neno hapo

Hilo limewatokea wengi tu hata mimi nimewahi kutumiwa email ya jinsi hiyo kitu cha msingi ni kuwa mwelevu unapo ambiwa ndugu yako ka kwama mahali si ujiulize kaenda lini huko na kama ni ndugu wa karibu nadhani utakuwa unajua safari zake. Ujumbe niliotumiwa ulimhusu dada yangu kuwa amekwama uingereza nimtumie pesa za msaada nilimtafuta mara moja na nikampata akiwa nyumbani hivyo nikajua kuwa hawa ndo wale wale matapeli tuwe waangalifu.
 
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.

Nimekuwa nikimsikia na kumwona kupitia vyombo mbali mbali vya habari Dr Slaa (MP-Karatu) kupitia CHADEMA akilalamika kuingiliwa kwenye mawasiliano yake ya email. Hususani email yake binafsi ya Yahoo.

Juzi nilimsikia Dr Slaa akilalamika kuwa marafiki zake wengi sasa wamekuwa wakipata emails kutoka kwake zikidai eti amekwama kule Lagos, Nigeria na hana hata senti ya kulipia hotel---hivyo, anaomba atumiwe dola kama 2,500 hivi..n.k..nk

Kusema ukweli, kilichommaliza Dr Slaa, pamoja na marafiki zangi wengine tu wengi ambao nao wamesha"lizwa" namna hiyo hiyo, ni kuhadaika na kujaza (kujibu) email ifuatayo hapo chini.

Basi!!. Hakuna kingine. Huyo ndio adui wa Dr Slaa, na si vinginevyo. So, yeyote atakayepata emil kama hiyo, aipuuzilie mbali..na kui delete fasta fasta.

1262079764_dr.slaa33.jpg

Pole Dr Slaa...pole rafiki yangu George...Charles..n.k

A S Kivamwo
www.ajaat.or.tz
Tel. 0786 300219

********************************************************************************
Yahoo Alert: Your Account Information Has Changed
Dear Valued Member,

Due to the congestion in all Yahoo!users accounts, Yahoo! would be shutting down all unused accounts. In order to avoid the deactivation of your account, you will have to confirm your e-mail by filling out your Login Info below by clicking the reply button. The personal information requested are for the safety of your Yahoo Account. Please FILL all information requested.

User name: ............................................
Password: .............................................
Date Of Birth: ........................................
Country Of Residence: ...........................

After you must have followed the instructions in the sheet, your Yahoo! account will not be interrupted and will continue as normal. Thank you for your usual co-operation. We apologize for any inconvenience.

Yahoo! Customer Care

Case number: 8941624
Property: Account Security
Contact date: 12-31-2009

HUYU BWANA AMEELEZA UKWELI KABISA MAANA HATA MIMI YASHANIPATA HAYA NIKAJAZA HAPO NA TOKA SIKUHIYO NIMEPOTEZA HIYO MAIL ADDRESS NA JAMAA WAMETUMIA CONTACT WALIZOKUTA HUMO NDANI KUWATAPELI NDUGU NA MARAFIKI,KWAHIYO WANDUGU KUWENI MAKINI,UKIIONA HIYO MAIL YA WARNING TOKA KWAHAO WANAJIITA YAHOO CUSTOMER CARE USIIJAZE IPUUZIE,VINGINEVYO UMELIWA
Dr. Slaa aache kufanya kila kitu ni siasa
Sasa hivi ujanja/wizi kwenye mitandao imekidhiri. Hata wale ambao wametangaziwa magari mazuri kwa bei rahisi mtandaoni wameliwa sana. Mimi vilevile kama miezi 4 iliyopita yalitokea kama hayo kuwa nimekwama lagos pasi yangu pamoja na pesa zimeibiwa na nimezuiwa hotelini mpaka hapo nitakapoweza kulipa bili hivyo rafiki zangu waliombwa nami msaada wakati mimi mwenye niko hapa hapa bongo.
Cha msingi ni kama ushauri uliyotolewa aache kurespond email address za asiowafahamu na kutoa details zake. Tamaa ni kingine kinachoingiza watu mkenge maana unaweza kupata email kuwa umeshinda $$ meing kwenye lottery fulani ambayo hata wewe huijui na ukaombwa utoe details zako pamoja na bank a/c ili uweze kupata donge lako ukijibu umeliwa. TAMAA IMEMPONZA FISI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom