Soma, tafakari afu toa jibu ungekuwa wewe!

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,538
6,456
Unafanya kazi ofisi ya selikali, bahati mbaya, mko wengi mno ikatakiwa kwenye ofisi/chumba chako mkawekewa meza mbili zinazotazamana, wewe ni mwanaume na mwingine ni mwanamke au wewe ni mwanamke na mwingine ni mwanaume......basi, becuase mimi ni he, nitatoa mfano....mdada mnayefanya naye kazi mnaheshimiana kinoma, au wakati mwingine anakuletea za kuleta kama kukutawala vile kwenye ile ofisi....inatokea siku moja kazi zimezidi, mafaili yameletwa mengi mnaandika, ikafika saa saba hivi dada kwasababu labda ya shuguli ya nyumbani kwa mumewe jana usiku, usingizi ukampitia kwasababu amechoka sana....wewe unaendelea kufanya kazi...

ikatokea akawa amejisahau, kutokana na usingizi, mdada mnene hihaa,....mara akaachia ushuzi mkuuuuubwa,...boooooouuuuu! akaruka na kusimama kwa kushtuka, chumba chote harufu kaliiii kwasababu jana alikula samaki na nyama choma nyingi.....hahahaha, mdada anatamani kuingia chini ya meza ajifiche, mko wawili tu na wewe kwasabab ya harufu kali unashindwa kuvumilia mnabaki kuangaliana usoni..dada kaangalia chini hana hata la kufanya....ungekuwa wewe ndo dada ungefanya nini....haya yametokea sehemu fulani hivi, ninaficha ofisi hiyo.....
 
hahaha. ujasiri huo utakuwa nao kweli....na uko naye kila siku ofisini...au itabidi ujirahisishe ili umwone na yeye mwili wake wote mzoeane muwe mnaona mambo ya kawaida tu.....ni sawa na kukutwa umekaa vibaya huna chupi afu unangángánia hadi utembee na uyo mwanaume ilimradi umwone na yeye alivyo hapo mmeenda sawa...hahaha....
 
Kwa kuwa mimi ni mwanaume, basi nitatambua kuwa "the chance will never come twice" nitaitumia ipasavyo
 
umeseka kajamba au kajinyea????? kipi cha ajabu mtu kujamba? ingekuwa ni mm wala nisingeshtuka.
 
hahaha. ujasiri huo utakuwa nao kweli....na uko naye kila siku ofisini...au itabidi ujirahisishe ili umwone na yeye mwili wake wote mzoeane muwe mnaona mambo ya kawaida tu.....ni sawa na kukutwa umekaa vibaya huna chupi afu unangángánia hadi utembee na uyo mwanaume ilimradi umwone na yeye alivyo hapo mmeenda sawa...hahaha....

Hebu acheni story za kitoto kwa hiyo yeye kujamba unataka ukamvue nguo? jiulize angekuwa ni mzazi wako mama yako ungefikiria hayo???ebooo
 
huenda huo mjambo ni kwa sababu mzee aliruka ukuta huo usiku uliotangulia!
 
Unafanya kazi ofisi ya selikali, bahati mbaya, mko wengi mno ikatakiwa kwenye ofisi/chumba chako mkawekewa meza mbili zinazotazamana, wewe ni mwanaume na mwingine ni mwanamke au wewe ni mwanamke na mwingine ni mwanaume......basi, becuase mimi ni he, nitatoa mfano....mdada mnayefanya naye kazi mnaheshimiana kinoma, au wakati mwingine anakuletea za kuleta kama kukutawala vile kwenye ile ofisi....inatokea siku moja kazi zimezidi, mafaili yameletwa mengi mnaandika, ikafika saa saba hivi dada kwasababu labda ya shuguli ya nyumbani kwa mumewe jana usiku, usingizi ukampitia kwasababu amechoka sana....wewe unaendelea kufanya kazi...

ikatokea akawa amejisahau, kutokana na usingizi, mdada mnene hihaa,....mara akaachia ushuzi mkuuuuubwa,...boooooouuuuu! akaruka na kusimama kwa kushtuka, chumba chote harufu kaliiii kwasababu jana alikula samaki na nyama choma nyingi.....hahahaha, mdada anatamani kuingia chini ya meza ajifiche, mko wawili tu na wewe kwasabab ya harufu kali unashindwa kuvumilia mnabaki kuangaliana usoni..dada kaangalia chini hana hata la kufanya....ungekuwa wewe ndo dada ungefanya nini....haya yametokea sehemu fulani hivi, ninaficha ofisi hiyo.....

mmh, me naona kama hii haifanani na hili jukwaa ati
 
Kujamba kitu cha kawaida sana,nitaomba samahani na kuendelea na kazi zangu,kama nina pafyumu nitapulizia kubalili hali sio zaidi ya hapo.
 
Kwa mtu muelewa mwenzie akijamba hawezi kuifanya ishu kubwa, mi nisingejali, tena nampigisha stori kabisa ili kumfanya asijisikie soo.. vinginevyo kazi zinaweza kusimama bure na mkaja kugombezwa wote, aliyejamba na asiyejamba!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom