Soma majibu ya Selebu wa Kibongo, Hemed akihojiwa na Zamaradi

Utoto na kamwe hakui...wengi wanaojiita maarufu Tz wana matatizo ya kujieleza na ili linatokana na elimu ndogo na kutokuwa na watu wa kuwaongoza vizuri p'se badilikeni ndio maana unakuta watu wanaacha kuangalia hata kazi zenu na kubobea na kazi za nje i.e western kwanza kazi nyingi ni full copy na zikiwa za kwao maudhui mabovu!!! Ukikuta story nzuri inaisha vibaya !!

Jirekebisheni bwana mnatia aibu na vyombo husika msikulrupuke tu kuwahoji wasanii wasio na maadili anafundisha nini vijana ? Clouds ndio mambo wanayoyapenda lakini yanawacost na yatawacost sana ......wameweka sana mambo ya usharobalo mbele kuna wasanii wengi wanastahili kupewa air time kama hizo na jamii ikafaidika please Zamaradi boresha kipindi kwa kuleta vichwa kwenye kipindi chako huyu ana kuharibia program yako kwanini unamleta kila mara??

SUPER STAR!!! Bongo!!?? aah wapi:dance:
 
hemed ni attention seeker n am sure he knows what he's doin na kwa kukurupuka tunakuta tunampa attention....mastar wengi wa bongo hupenda attention za media hata kwa upuuzi wao!sometimes inabidi tuwapotezee kwani tukiwazomea kwao ni kama kuwashangilia!.......nachomsifu dogo ni kutoogopa kuchukiwa kwa kauli zake na kujiamini!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.

Mjinga mnjinga tu.
 
NOT ONLY ZUZU pia ni bwegge fulani hivi jinga jinga...yaani uku Nai tunamuita wa hivi hivi......lakini hata JF wapo......sasa jitu kama Nyani Ngabu anatofauti gani na huyu hamnazo?
du ombea asikusikie
 
Jinga type,eti hemedii nweweeeee........mmefurahi kupata namba yako........,jinga *******,tena ndio anajiona eti ndo anawakosoa wenzake wakati yeye mwenyewe ni mpuuzi mbuzi,kuchezea wanawake ndio anaona sifa,shenzi mkubwa,domo limeungua kwa bangi,haya hamuna,hebu muondooeni anatia kichefu chefu.
 
Dah! na hz media zetu bwana! jinga linaachiwa tu liongee upuuz na unarushwa hewan! bado tuna kaz wa tzd.
 
Ding-bat, doughnut, kichwa cha Kanga, Kichwa maji, Kifuu tundu sijui nisemeje, halafu hawa wajinga-wajinga eti ndio wanaitwa kioo cha jamii? Kioo my behind!!!
 
Hivi na hawa madada zetu ni wajinga kiasi gani,yaani mtu anajisifia anashobokewa na madem halafu bado hawajistukii wanamfata tu?!
 
Kumega mademu yeye anaona ndo mafanikio ya sanaa

Inamaanisha asingekuwa kwenye sanaa may be asingeweza kupata demu maishani mwake, na hivi alivo mrembo may be angekuwa anatafunwa, so kwake hiyo ni achievement.
 
Jamani Eeh kunatofauti ya Msanii wa Movie na Mcheza Movie,
Hemed ni Mcheza Movie lakini Msanii wa Movie hawezi kujibu maswali kama alivyo jibu huyo Mzandukuna kififijoto wa kundezambongo///

Mcheza movie ni mtu ambaye hajui anafanya vile ili iweje, lakini Msanii wa movie anajua anacheza filamu kwa malengo maalum ya kuelimisha jamii, na kujitengenezea uchumi wake mwenyewe, na hawa ukiwaangalia utaona mafanikio yao..

So Musimjumuishe na Wasanii kwanza hajui Sanaa
 
Hapo ndo upeo wake ulipoishia mtu badala ya kufikiria maendeleo anawaza mabint tu angekuwa mwanangu ningebadilishana na kiroba cha unga tu kwasababu ni hasara tu.
 
Sishangai ndio maana alipata Division 0 EckernFord High School Pande za Tanga,Bure kabisa huyuu jamaaa
 
NOT ONLY ZUZU pia ni bwegge fulani hivi jinga jinga...yaani uku Nai tunamuita wa hivi hivi......lakini hata JF wapo......sasa jitu kama Nyani Ngabu anatofauti gani na huyu hamnazo?

hehe yaani nimeanza kusoma post yako nilijua utamtaja huyu jamaa,inaelekea kama alikunyanganya demu alimfanya vibaya.chill man tafuta mwingine
 
Inamaanisha asingekuwa kwenye sanaa may be asingeweza kupata demu maishani mwake, na hivi alivo mrembo may be angekuwa anatafunwa, so kwake hiyo ni achievement.

achievement kubwa,isingekuwa movie angekuwa anauza vihepe ilala kisha usiku anakatwa kiboga:bange: na wateja kama wenzie pale
 
Hayo yote ni sbb ya shule kuwa ndogo yaan hata cjui huko kwenye huwa wanatumia vigezo gani.
 
...hivi huyu dogo ameacha kugongea bia pale nyuma ya pr kwenye grocery mmoja sijuwi panaitwa kwa jamila vile!!!
 
Back
Top Bottom