Soma majibu ya Selebu wa Kibongo, Hemed akihojiwa na Zamaradi

Hamna kitu hapo, halafu eti anajidai kufundisha lugha na anadai yeye anatumia lugha kwa ufasaha, wakati hapo tu nimemsikia akisema "mimi kama mimi" hivi unawea ukawa wewa kama nani tena, wewe si ni wewe tu. very poor quality, halafu kapiga boot ya zamambarau duh, alikuwa anahakikisha saa yake inaonekana.
 
Hili jamaa ni jinga la kupitiliza. Nimejuta kwanini nimesikiliza. Yaani yeye ni mapenzi tu na hakuna jingine tena. How old is he? Km mtoto wa sekondari? Mungu anahitaji kutusaidia Watanzania. Huwa ninasema, siasa si mahitaji ya Watanzania kwa sasa. Ukombozi wa akili unatakiwa uwe ndio kipaumbele. Watu hawataki kujifunza, tuufanye mkakati wa nchi hasa tuanzie na waandishi wa habari na watu wanaojiita maarufu maana hawa wanasikika na watu wengi. Au la to write-off kizazi hiki, tuanze upya kwa watoto wanaokuja.
 
Atakuwa mwanachama wa CCM huyu ndo majibu yao haya, wazee wa miteremko.
 
duh tatizo la mfumo wa elimu hauwapi uwanja vijana kupanua fikra wanasoma kufaulu mitihani that's all
 
mungu wangu weeee huyu kichaa au? Na pumba Z OOOTE HIZI LIVE??? Lahaula lakwata .....mh au ndo usela mavi huu???
SHULE IPO KWELI HATA KIDOGO HUMU?
 
thats why sanaa ya bongo haikui wala haindelei na sio katika movie tu hata muziki wengi wao hawafanyi hizo kazi ka ajira bali lengo lao kubwa ni kupata umaarufu, mademu na pombe za bure,vipamba kiaina na kuingia club bure hayo tu ndo wanafikiria ndo maana wanapewa vijihela kidogo na wadosi wanauza hadi hakimiliki zote za kazi yao. Mtu anakwambia kazi nimeuza ila hata hajui ni nakala ngapi, ye akishapewa starlet na millioni moja na akishobokewa na mademu baaasi, hataki tena. Ndio maana hata mapromota wanaweza sana wanamuziki anatafutiwa mademu, pombe afu bonge la show na watu wanaingia wengi anapewa laki moja anaambiwa tunakufanya maarufu umaarufu wa nini wakati huna pesa mfukon? Na hii sii akili ya Hemed tu ni ya wasanii wengi tu wengine ni wakubwa na maarufu hadi sometime najiuliza wabongo nani katuroga? Na mapromota na mameneja washawajua ukierevuka tu wanakubania mbaya

Pukudu @Ilkiding'a, Arusha
 
**** sana huyo dogo kuna mahojiano anamkandia Mlela eti kuwa watoto wa Mbezi beach hawamjui Mlela labda Ilala,toka siku hiyo nikajua upeo wake ziro wasanii muwe mnafikiri kwanza..
mbona yeye anakaa hapo kinondoni tena uswaz tu? Sio siri ukimuona jamaa kabla hujamsikia utajua ni jentoman fulani. Kiukweli sitaki kuamini kuwa jamaa ni kapi hivyo
 
Mastaa wa Bongo wakiambiwa waende courses za kufundisha jinsi ya utafakari na kuface media wanona kama wapigwa madongo... if they only new... Huyo jamaa ana F katika mambo mengi saana. Kitu kinacho muokoa ni umaarufu na u HB ambao bahati mbaya saana umekaa almost kikike.. not man enough!
 
Hawa ndio wanaongeza idadi ya wazembe duniani. Nyambaaaaaaaf mweusi! shock absorber! bajaaaaj! CCM waahed! ugoro wa tumbaku! kunguru kiwete!

Amepoteza apetaiti yangu yote acha nikamwage huu ugali.
 
Atakuwa mwanachama wa CCM huyu ndo majibu yao haya, wazee wa miteremko.

Hawa ndio wanaongeza idadi ya wazembe duniani. Nyambaaaaaaaf mweusi! shock absorber! bajaaaaj! CCM waahed! ugoro wa tumbaku! kunguru kiwete!

Amepoteza apetaiti yangu yote acha nikamwage huu ugali.
Sijamisikia akisema yeye ni CCM! Shikeni adabu zenu!
 
Kwanza anajiamini sana, pili amedhalilisha sana wanawake ambao ndio wadau wake wakubwa.

Dharau na majidai apunguze.

Ila nimecheka sana, eti Mlela ni kama panzi na yeye Hemed ni kunguru....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1: hii ni masarau kwa kweli.
 
Back
Top Bottom