Soma maamuzi ya hakimu huyu juu ya ndoa

ngoja malawyer wa jf waje
mr rock
nn na wengineo mipilot siwezi ongea hapa
 
uyu hakimu naona kichaa anamrudisha mke wa mtu kwa baba ake dah
 
Jamani hakuna hata typewrite zile za carbon paper mpaka iandikwa na handwriting ya darasa la saba.
 
Nchi hii we acha tu ukienda kusoma bajeti utakuta computer 10 zimenunuliwa kwa ajili ya mahakama kisha computer hakuna
 
ngoja malawyer wa jf waje
mr rock
nn na wengineo mipilot siwezi ongea hapa

smile umemkimbia Izraeli? hope unaendelea vyema(kama ulionja sumu....:wink2:)

:focus:

hapo nahisi harufu ya shilingi.........
ila nisihisi sana labda kulikuwa na sababu ya msingi ya hakimu kufanya hivyo.....swali ni je hakimu atamuita lini? hata baada ya miaka 5? na sheria inakubali mke kurudi kwao?
 
ngoja malawyer wa jf waje
mr rock
nn na wengineo mipilot siwezi ongea hapa

duh! Afadhali hata nimeona post yako. Ulinitisha sana na ile habari yako ya jana ya kunywa sumu bahati mbaya. Pole sana
 
Hakuna maamuzi ya aina hii ya kesi za ndoa
Kuna procedure zake na namna ya kufikia au kutoa hukumu kuwa mume na mke waachane
Hakuna sehem katika sheria ya ndoa waliposema kuwa mke arudi kwa baba yake mpaka maamuzi mengine yafikiwe
Ina maana hapo hakimu amewatenganisha hata kabla ya kusikiliza shauri lao
Kuna mabaraza ya kata na viongozi wa dini na washenga ambako kote huko wanatakiwa watoe maamuzi tena kwa maandishi kuwa wameshindwa kusuluihisha ndoa hiyo na ndipo shauri linapelekwa mahakamani.
Mahakama itasikiliza pande zote mbili pia na kuona kama kuna haja ya kuvunja ndoa husika
Na sababu za ndoa hiyo kuvunjika lazima zielezwe wazi kama adultery, vipigo, kushindwa kwa mwanaume kuconsume the marriage, kichaa may be mwanaume amekuwa kichaa au kifungo cha zaidi ya miaka mitano, na makosa mengine ambayo mahakama itaona kuwa hiyo ndoa imeshindikana beyond repair
 
wape somo kaka mimi shahidi no moja
 
Huko vijijini kuna mambo si haba, mwenyekiti wa kijiji tu anaweza kukusumbua mpaka ukahama kijiji!! Sasas uliza kosa ni nini, haumnunulii kimpumu!!!!

Hizi mahakama za mwanzo ni balaa mkuu
Na hawa wenyeviti na watendaji wa vijiji ni kama miungu watu huko vijijini na wanaogopwa mbaya
Mgambo tuu anaweza kukuweka lupango au ng'ombe wako akachukuliwa kisa hujalipa mchango wa shule
Na hakimu akipita huko kijijini au akija kwako lazima aondoke na zawadi either jogoo mkubwa au debe la mahindi
 
Hakuna maamuzi ya aina hii ya kesi za ndoa
Kuna procedure zake na namna ya kufikia au kutoa hukumu kuwa mume na mke waachane
Hakuna sehem katika sheria ya ndoa waliposema kuwa mke arudi kwa baba yake mpaka maamuzi mengine yafikiwe
Ina maana hapo hakimu amewatenganisha hata kabla ya kusikiliza shauri lao
Kuna mabaraza ya kata na viongozi wa dini na washenga ambako kote huko wanatakiwa watoe maamuzi tena kwa maandishi kuwa wameshindwa kusuluihisha ndoa hiyo na ndipo shauri linapelekwa mahakamani.
Mahakama itasikiliza pande zote mbili pia na kuona kama kuna haja ya kuvunja ndoa husika
Na sababu za ndoa hiyo kuvunjika lazima zielezwe wazi kama adultery, vipigo, kushindwa kwa mwanaume kuconsume the marriage, kichaa may be mwanaume amekuwa kichaa au kifungo cha zaidi ya miaka mitano, na makosa mengine ambayo mahakama itaona kuwa hiyo ndoa imeshindikana beyond repair

Hawa ndo mahakimu wetu hawa tayari kesha jiamlia hapo na mhuri kagonga data kama hizi inabidi kupeleka kwa Jaji mkuu aone watoa haki wa chini wanavyo haribu sifa za mahakama nchini.
 
Sometime inabidi mahakimu waone hata aibu
Maana hukumu kama hii au barua kama hii kutolewa na hakimu inatia shaka uelewa wake wa sheria ya ndoa
Maana ni kama maamuzi ya mwenyekiti wa kijiji au mtendaji wa kijiji na sio hakimu
Anaelewa procedure za kesi za ndoa na sio maamuzi ya kitashi yaani the way yeye anaona inafaa ila je sheria inasemaje swala la ndoa linapoletwa mezani kwake
Je anatakiwa afanye nini
 
Yaani mi imenifedhehesha sana hukumu hii.
Na muelewe waliopo jela wengi sio wenye hatia
 
Ina maana hapo hakimu amewatenganisha hata kabla ya kusikiliza shauri lao
we don't have those facts of the case. Unajuaje amewatenganisha, vipi kama hawakuwahi kuishi pamoja? Na unajuaje shauri halijawahi kusikilizwa? Unajuaje hawajapita kwenye mabaraza ya kata na dini? Unajuaje wanandoa wana dini? Vipi kama kesi hii ni dispute on whether there was valid marriage to begin with, yani hatujafika huko kwenye kusulisha, kesi inaweza kuwa ni je, kulikuwa na ndoa? Unajuaje kesi hii ni kuhusu divorce, vipi kama wote wanapendana ila baba ame file petition kudai deni alilopunjwa kwenye bei ya bi harusi, bride price?
 
Back
Top Bottom