Soma kichekesho cha mkataba wa atcl na dhamana ya mh mkullo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Ndege imekodishwa oct 2007,dhamana imetolewa 2008 aprill,sheria inasema airuhusiwi kukodisha mpaka dhamana iwe imetolewa na katika madai ya wallis wanaidai serikali kuanzia 0ct 2007,,tutafika kweli?/
 
Sikiliza/ona
oct 5 2007 atcl waliingia mkataba na kampuni ya wallis alafu dhaman ya serikali
inaonyeshwa imetolewa tar 5 apr 2005...jiulize mkataba wameingiaje bila dhamana ya serikali
alafu kwenye madai yao wameandika kuanzia oct 5 .2007 kwa nini tuilipe huu muda mpaka 5 apr 2008 wakati walikuwa hawana dhamana..hamuoni hii ni dowans nyingine jamani zitoo kabwe ametuonyesha leowameshaanza kupewa billion 2.5 na wameandikiwa schedule ya malipo sasa basi amuoni hawa waliotuingiza humu wanaitaji kunyongwa kwanini wanaendelea na kuendesha mashangingi???wananchi atupo kuwapiga hata mawe jamani???wapi wanatupeleka hii serikali
aiseeeh ! Hebu jipange halafu uje tena, daaah !
 
mm thijaelewa ulichoandika kwa kweli hebu pangilia upya
 
Kisichoeleweka ni nini? Mkataba wa kweli ni 2007 na mkataba wa maandishi ni 2005 maana yake Mkulo na maswahiba wake wana kwa CAG pesa zote za 2005-2007 wakati wallis hawakuwa na mkataba na sisi. Wajanja wamevuta hiyo na ndo maana wananunua vitu kibao. Mlandizi yote hadi Kongowe kwa sasa ni ya Mkullo, huu si UJAMBAZI?????
 
Back
Top Bottom