Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
ANOTHER DAY another UDAKU
Zero said:Najua vitu vingi hapa JF huwa vinaanza kama jokes na watu wanakuwa wagumu kuviamini. Sms kama hiyo zimeshatumwa nyingi tu, sio kwa wabunge tu, bali kwa wapinzani wa serikali na watanzania wote kwa ujumla. Tatizo ni "who will bell the cat". Hapo ndio tunashindwa wengi. Inawezekana huu ni mkakati mzuri tu wa wabunge wa CCM, lakini utekelezaji ukawa mgumu. Cha msingi ni kwamba kila jambo huwa lina mwanzo wake na mwisho wake. Lets hope and wait. Hata USA wamepata the first African-American president. Time will tell!
Zero,
..Samuel Sitta ni mwanasiasa mchafu sana.
..ulizia habari zake tangu akiwa waziri wa ujenzi, na baadaye waziri wa ustawishaji makao makuu Dodoma.
..trust me, ni uwendawazimu kufikiria we will be better off kama tukimtoa Kikwete na kumpachika Samuel Sitta. hata kama ni kwa kipindi cha mpito.
Zero,
..Samuel Sitta ni mwanasiasa mchafu sana.
..ulizia habari zake tangu akiwa waziri wa ujenzi, na baadaye waziri wa ustawishaji makao makuu Dodoma.
..trust me, ni uwendawazimu kufikiria we will be better off kama tukimtoa Kikwete na kumpachika Samuel Sitta. hata kama ni kwa kipindi cha mpito.
wakati umefika kama ccm hawatachukua hatua kwa viongozi wao wasubiri wananchi watachukua hatua kwa kuwapa adhabu mafisadi.
zero,
..samuel sitta ni mwanasiasa mchafu sana.
..ulizia habari zake tangu akiwa waziri wa ujenzi, na baadaye waziri wa ustawishaji makao makuu dodoma.
..trust me, ni uwendawazimu kufikiria we will be better off kama tukimtoa kikwete na kumpachika samuel sitta. Hata kama ni kwa kipindi cha mpito.
haya kubenea aliwataarifu ccm mapema wenyewe wakapambana na gazeti lisilo na kosa. Ona sasa sijui watamfungia nani. Huo ni ushahidi mwingine wa mkakati wa jk kung'olewa madarakani. Wahusika wakuu si wengine bali mafisadi kama tunavyowajua wanajf
....Sidhani kama wana ujasiri wa kufanya hivyo tatizo wabunge ambao wengi ni CCM waoga kiasi kwamba wao wanaamini wapo pale bungeni kuendeleza ufisadi huenda JK atawakumbuka katika ufalme wake wa kifisadi e.g uwaziri. Kumbuka kwa hali ilivyo sasa wabunge wamefanya siasa ndio ajira yao kiasi hata akili zao muda wote zimelalia huko. Cheki wabunge wengi wanaposhindwa katika chaguzi huwa choka mbaya na mwisho huishia kuyumba na baadae kuanza mambo ya kuhama vyama...Si unamkumbuka Njeru Kasaka aliyekuwa mbunge wa Lupa kule chunya? au Sebabiri aliyekuwa mbunge wa ngara???Hivi wabunge hawewezi kuwa kitu kimoja kupiga kura ya kuto kuwa na imani na rais?
Wanaweza kweli wabunge wetu kufanya hivyo?
Hoja yangu sio kwamba Sitta anafaa au hafai kuwa rais. Hoja yangu ni kwamba haya mambo yanawezekana kabisa. Wabunge wanaweza kujipanga na kumtoa Makamaba na JK. Nani anakuwa Rais na ana kiburi au ubabe kiasi gani, haikuwa hoja yangu. After all it makes sense kusema kwamba, kama bunge linaweza kumtoa JK kwa kutokuwa na imani na uongozi wake, they can do the same against Sitta or whoever atakayekuwa amechaguliwa kama na yeye atalewa madaraka. But my argument was, anything is possible under the sun. It can take years to get there, but it can and will happen. Time will always tell!
"WAHESHIMIWA WABUNGE,BAADA YA KUMTOSA UKATIBU MKUU MAKAMBA TUINUSURU NCHI YETU KWA KUMTOSA JK.MAMLAKA YA KIKATIBA TUNAYO.MCHAKATO UANZE BUNGENI.SPIKA AMALIZIE KUIONGOZA NCHI HADI 2010.MZEE MALECELA SPIKA.WASWAHILI HAWA WARUDI NCHI NA CHAMA
VIMEWASHINDA.TUMA KWA WABUNGE 10"
Peleka hii kitu kwenye udaku, aliyekupa anajua anachokifanya na kama ni mkakati wa kumwokoa Makamba kwa kumfungamanisha na rais kisha kumsema SITA na Malechela wanataka kuchua nchi ni uzushi wa KIFASADI ambao hauwezi kufanikiwa
Zero said:Hoja yangu sio kwamba Sitta anafaa au hafai kuwa rais. Hoja yangu ni kwamba haya mambo yanawezekana kabisa. Wabunge wanaweza kujipanga na kumtoa Makamba na JK. Nani anakuwa Rais na ana kiburi au ubabe kiasi gani, haikuwa hoja yangu. After all it makes sense kusema kwamba, kama bunge linaweza kumtoa JK kwa kutokuwa na imani na uongozi wake, they can do the same against Sitta or whoever atakayekuwa amechaguliwa kama na yeye atalewa madaraka. But my argument was, anything is possible under the sun. It can take years to get there, but it can and will happen. Time will always tell!
Below is an sms ambayo inasambazwa kwa wabunge wa CCM.Nimeipata kutoka kwa Mbunge ambaye ofcoz siwezi kumtaja hapa.Mkakati wa kwanza ni kumng'oa Makamba thru vote of no confidence...
"WAHESHIMIWA WABUNGE,BAADA YA KUMTOSA UKATIBU MKUU MAKAMBA TUINUSURU NCHI YETU KWA KUMTOSA JK.MAMLAKA YA KIKATIBA TUNAYO.MCHAKATO UANZE BUNGENI.SPIKA AMALIZIE KUIONGOZA NCHI HADI 2010.MZEE MALECELA SPIKA.WASWAHILI HAWA WARUDI NCHI NA CHAMA
VIMEWASHINDA.TUMA KWA WABUNGE 10"