Soma hii muhimu:Msaada tafadhali

Richbest

Senior Member
May 23, 2011
101
24
Habari za jioni wadau? Nina rafiki yangu yupo chuo ila amekosa mkopo na nyumbani kwao wamemsusa sababu alipata ujauzito akiwa shuleni amekuwa wa mawazo hata kula yake ni ya tabu anafikiria kuacha chuo! Nimshaurije na kama kuna wafadhili basi wajitokeze kumsaidia ana hali mbaya namuonea huruma!asanteni
 
Huruma waonee wote waliokosa mkopo na chuo hawajakanyaga mpaka sasa ijapokuwa walifaulu vizuri na walikuwa na maadili mazuri mashuleni.Sio huyo rafiki yako ambae halikuwa hajitambui na kufanya mambo yaliyo nje na kipindi chake kwa vichocheo tu vya mwili.AACHE TU CHUO KA VIPI.
 
Dah!!hapo pagumu,yuko chuo gan labda 2naweza kumsaidia kwa hali na mali?
 
Huruma waonee wote waliokosa mkopo na chuo hawajakanyaga mpaka sasa ijapokuwa walifaulu vizuri na walikuwa na maadili mazuri mashuleni.Sio huyo rafiki yako ambae halikuwa hajitambui na kufanya mambo yaliyo nje na kipindi chake kwa vichocheo tu vya mwili.AACHE TU CHUO KA VIPI.

khaaa!!hivi wewe ni binadamu wa aina gan usie kuwa na chembe hata ya huruma?
 
Habari za jioni wadau? Nina rafiki yangu yupo chuo ila amekosa mkopo na nyumbani kwao wamemsusa sababu alipata ujauzito akiwa shuleni amekuwa wa mawazo hata kula yake ni ya tabu anafikiria kuacha chuo! Nimshaurije na kama kuna wafadhili basi wajitokeze kumsaidia ana hali mbaya namuonea huruma!asanteni

sasa we mawe unatoa habari nusu nusu,umetuambia huyo mtu ametengwa na familia yake,ila hujatuambia aliye mpa hzo pesa za kwenda kufanyia registration huko chuo ni nan na kwa nin huyo alye mpa hzo pesa asiendelee kuwa mfadhil wake?
 
Alisaidiwa na msamaria ila na yeye uwezo wake ni mdogo anasema hawez kumpa hela za matumiz ya chuo na kumlelea mtoto wake yeye alitegemea angepewa mkopo
 
Back
Top Bottom