Soma hapa uone utapeli mpya wa laptop.....umeingia posta jijini Dar

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
wadau kuna utapeli umeingia wa watu kuibiwa laptop......uko hivi na hii imemtokea rafiki yangu maeneo ya posta

yeye alikuwa anatembea na begi lake njiani mitaa ya posta akiwa anatoka kwenye shughuli zake wakati yupo njiani
mida ya saa mojamoja kuna gali aina gx mia lilikuwa linatokea nyuma yake baada ya muda likasimama njiani kuna
wasichana wawli walisimamisha gali na kuumulizia njia ya kutokea posta mpya .....kuelekea mnazi mmoja yule jamaa akawaelekeza wale wanadada wakamshukulu wakasema asante ila wakamuomba apande gali ili wamsogeze sogeze naye wamuache hata njiani..........

wakati wapo ndani ya gali dada mmoja alimuuliza kaka ww unaelekea wapi akasema anaelekea kimara yule dada akamwamia sisi tunaelekea mbezi mwisho basi kama vipi twende na sisi tutakudrop njiani mshikaji wangu akasema nashukuru sana mtanisaidia sana maana jioni usafili wa kimara ni mgumu sana .....wakati wapo njiani walifika maeneo ya magomeni mwembechai yule dada mmoja alisimamisha gali......na kumwambia rafiki yangu aliyekuwa siti ya nyuma
kutokana na wao kuchoka walimwomba akawanunulie maji matatu ya uhai matatu ya uhai duka lolote pale jamaa alishuka kwenda kununua maji wakati anarudi na maji hakufanikiwa kuliona lile gali......hakufahamu lilienda wapi na akaaanza kulia akilalamika vitu vyake alivyooviacha kwenye lile gali kwani aliacha laptop yake na vitu vyake vya umuhimu .....na hakufahamu wale akina dada wameelekea wapi..........

kwa hiyo nimeamua kuwajulisha wanajf hii inshu tuwe makini
 
kaka haf unaonyesha unamatatizo ya matumizi ya "L" na "R" si unaona hadi hapo kwenye "WAKAMSHUKULU" baada ya "Wakamshukuru
 
Wewe inaonekana ndo taperi uliyetajwa,nadhani imekuuma kuona njia yako mpya imewekwa hadharani.Nakushauri rudisha mali za watu ili roho yako iwe na amani.Vinginevyo utaendelea kuumia,maana mshahara wa dhambi ni mauti.
Wewe shida yako ni herufi au ujumbe unaosaidia watu wasitapeliwe? Wewe kama unakielewa vizuri kiswahili mbona umeandika ''Baada ya'' instead of ''BADALA YA''
 
kaka haf unaonyesha unamatatizo ya matumizi ya "L" na "R" si unaona hadi hapo kwenye "WAKAMSHUKULU" baada ya "Wakamshukuru
kama umeelewa anachotaka kusema sasa unataka nini? Si uchangie hoja aliyoleta ambayo tayari unaielewa?
Personally, namlaumu jamaa. Kwa sababu, huwezi kushuka na kuacha vitu vya thamani kwenye gari la watu usiowajua. This is something I have never done before and will not do it.
 
Bora mwanamke uwe malaya kuliko uwe mwizi.
wadau kuna utapeli umeingia wa watu kuibiwa laptop......uko hivi na hii imemtokea rafiki yangu maeneo ya posta

yeye alikuwa anatembea na begi lake njiani mitaa ya posta akiwa anatoka kwenye shughuli zake wakati yupo njiani
mida ya saa mojamoja kuna gali aina gx mia lilikuwa linatokea nyuma yake baada ya muda likasimama njiani kuna
wasichana wawli walisimamisha gali na kuumulizia njia ya kutokea posta mpya .....kuelekea mnazi mmoja yule jamaa akawaelekeza wale wanadada wakamshukulu wakasema asante ila wakamuomba apande gali ili wamsogeze sogeze naye wamuache hata njiani..........

wakati wapo ndani ya gali dada mmoja alimuuliza kaka ww unaelekea wapi akasema anaelekea kimara yule dada akamwamia sisi tunaelekea mbezi mwisho basi kama vipi twende na sisi tutakudrop njiani mshikaji wangu akasema nashukuru sana mtanisaidia sana maana jioni usafili wa kimara ni mgumu sana .....wakati wapo njiani walifika maeneo ya magomeni mwembechai yule dada mmoja alisimamisha gali......na kumwambia rafiki yangu aliyekuwa siti ya nyuma
kutokana na wao kuchoka walimwomba akawanunulie maji matatu ya uhai matatu ya uhai duka lolote pale jamaa alishuka kwenda kununua maji wakati anarudi na maji hakufanikiwa kuliona lile gali......hakufahamu lilienda wapi na akaaanza kulia akilalamika vitu vyake alivyooviacha kwenye lile gali kwani aliacha laptop yake na vitu vyake vya umuhimu .....na hakufahamu wale akina dada wameelekea wapi..........

kwa hiyo nimeamua kuwajulisha wanajf hii inshu tuwe makini
 
Jamaa ako kahamia lini Bongo Darisalama?
Simaanishi kama uizi unachagua wa mjini au bush ila nduguyo ni mzembe kupindukia.
Mwisho: tunashukuru kwa kukumbushana umakini.
 
Wewe, huu si wizi mpya..... Haya mambo hata kwetu Katerero yalishatokea tangu miaka ya 1970! Wewe umetokea kijiji gani?
 
Asante mkuu kwa info, hata mimi ningeibiwa maana hauwezi ukadhania mtu ana GX 100 halafu aondoke na laptop ya Million 1..
 
Jamaa ako kahamia lini Bongo Darisalama?
Simaanishi kama uizi unachagua wa mjini au bush ila nduguyo ni mzembe kupindukia.
Mwisho: tunashukuru kwa kukumbushana umakini.

Mkuu, km kila asiyejua ni mzembe, basi wengi tutakuwa wazembe.
 
wadau kuna utapeli umeingia wa watu kuibiwa laptop......uko hivi na hii imemtokea rafiki yangu maeneo ya posta

yeye alikuwa anatembea na begi lake njiani mitaa ya posta akiwa anatoka kwenye shughuli zake wakati yupo njiani
mida ya saa mojamoja kuna gali aina gx mia lilikuwa linatokea nyuma yake baada ya muda likasimama njiani kuna
wasichana wawli walisimamisha gali na kuumulizia njia ya kutokea posta mpya .....kuelekea mnazi mmoja yule jamaa akawaelekeza wale wanadada wakamshukulu wakasema asante ila wakamuomba apande gali ili wamsogeze sogeze naye wamuache hata njiani..........

wakati wapo ndani ya gali dada mmoja alimuuliza kaka ww unaelekea wapi akasema anaelekea kimara yule dada akamwamia sisi tunaelekea mbezi mwisho basi kama vipi twende na sisi tutakudrop njiani mshikaji wangu akasema nashukuru sana mtanisaidia sana maana jioni usafili wa kimara ni mgumu sana .....wakati wapo njiani walifika maeneo ya magomeni mwembechai yule dada mmoja alisimamisha gali......na kumwambia rafiki yangu aliyekuwa siti ya nyuma
kutokana na wao kuchoka walimwomba akawanunulie maji matatu ya uhai matatu ya uhai duka lolote pale jamaa alishuka kwenda kununua maji wakati anarudi na maji hakufanikiwa kuliona lile gali......hakufahamu lilienda wapi na akaaanza kulia akilalamika vitu vyake alivyooviacha kwenye lile gali kwani aliacha laptop yake na vitu vyake vya umuhimu .....na hakufahamu wale akina dada wameelekea wapi..........

kwa hiyo nimeamua kuwajulisha wanajf hii inshu tuwe makini

Mbona kaibiwa kirahisi hivi
OTIS
 
kaka haf unaonyesha unamatatizo ya matumizi ya "L" na "R" si unaona hadi hapo kwenye "WAKAMSHUKULU" baada ya "Wakamshukuru
Utakuwa mtu wa maana sana kama nawe umeshatunga kamusi ya kiswahili. Vinginevyo acha kukosoa wenzako!
 
ila huyo rafiki yako kaibiwa kizembe!
lift mbaya haina kumwamini mtu ucyemjua hapa..poleni!
 
mkuu pole kwa scenario ilompata jamaa yako.Pia nakushukuru at least kuremind wa2 kwani anythn can happen anytym 2 any1
 
Back
Top Bottom