Mh, kweli naishiwa maneno. Hivi hao viongozi wetu wamelogwa na nani? Ole wetu Tanzania

hata kama tuwapole mno watanzania tufike mwisho kinachofanya na serikali ya ccm ni uhuni miaka 99 kwa heka laki 1...watanzania tuchukue hatua vinginevyo tuna wajukuu zetu watakuja kuchukua mifupa na kupeleka maabara kupima tulikuwa wazima au tulikuwa mazezeta..
yaani hatuelewi chochote kuhusiana na mipango ya hao wezi,wasipoisikiliza sauti ya umma,nadhani yatawakuta kama aliyoyaomba Zombe,kizazi hiki hakitaliwa na wapumbavu,tutapigania rasilimali zetuinafanana sana na hii, au siyo!?
Sio muda mrefu yatatukuta yaliyotoke zimbabwe,nasi itabidi tumtafute Mugabe wetu. Kweli Tanzania ni shamba la bibi lila idara ! Aibu................Mkuu, hiyo afadhali unayoisema iko wapi? Hivi unajua hizo ekari 800,000 ni sawa na asilimia ngapi ya ardhi inayofaa kwa kilimo hapa TZ? Pili kumbuka watapata lease ya miaka 99!!!! (Karne nzima) takribani vizazi viwili. Wakatti huo watanzania watakuwa wangapi? ambao kati yao tuseme 70% watataka kulima lakini ardhi yao itakuwa mikononi mwa wazungu. Hicho Mkuu ni KIAMA kwa nchi na vizazi vyake.
Hoja yako sahihi lakini mfano siyo. Mugabe hajagawa ardhi kwa wazungu/wageni. Amefanya kinyume chake.Sio muda mrefu yatatukuta yaliyotoke zimbabwe,nasi itabidi tumtafute Mugabe wetu. Kweli Tanzania ni shamba la bibi lila idara ! Aibu................

Msiniambie kuwa mnaogopa kuwa hawa wataanzisha Migodi ya Kinyemela ndani ya mashabma yao?

Mkiniambia kuwa huo ndiyo wasiwasi wenu, basi masikitiko yangu ya uwezo wa watu wetu kujipambanua na mambo makubwa yanayotokea ulimwenguni yataporomoka kabisa.
yaani hatuelewi chochote kuhusiana na mipango ya hao wezi,wasipoisikiliza sauti ya umma,nadhani yatawakuta kama aliyoyaomba Zombe,kizazi hiki hakitaliwa na wapumbavu,tutapigania rasilimali zetu
bwana Moses K,unaweza kudadisi bei maana huwa wanapewa bure au kwa gharama ambayo mtanzania yeyote anaweza kumudu na akipewa mikopo na benki anaweza akafanya jambo la maana au kuwepo na ushirikiano na wawekezaji
NAIPINGA HOJA VIKALI
[h=6]An article on a big US-based agri-business company which intends to invest heavily in Tanzania has appeared in some US newspapers, and picked by one of the English weeklies.
According to this article, which the local newspaper gave a screaming headline of US investor set to acquire large chunks of land in Tan...zania, the intention of t...he investor is to bring modern and sustainable agriculture to the country, so that even small holder farmers can learn techniques of the 21st century farming.
The land earmarked for the massive grain and livestock operation is not less than 800,000 hectares.
If things go as planned, the company will secure a 99-year lease of the extensive area for the purpose of growing crops to be sold in the country, the rest of East Africa and other neighbour countries.
Some of the experts and international NGOs specializing in Third World development trends are already sounding an alarm about land grabbing in some countries by foreigners, who take advantage of poverty and corruption in targeted regions to effect their mission.
Question here is: who should have powers to give 800,000 hectares to a foreigner under a 99-year lease????[/h]