Soma hapa kabla hujaenda kwa MACHANGUDOA

Panga umeongea kama vile waendao huko wote wapo single alafu hawajafanya mda mrefu...

Watu wengine wako double lakini hawana tofauti na single, kutokana na treatment wanayopata kutoka kwa spouse wao.
 
Hehehehe sasa wewe kwani huna Mdemu wa kumalizia mashida yako. coz kama uko na Demu mzuri namaanisha anayeweza kukupa kulikitu ambacho hutaweza fikiria Changu
 
Mkuu inaokena wewe unakauzoefu na hawa watoa huduma za chapchap
mi nshaibiwa trouser kaumba morogoro ila sa hivi hawawezi mi mwenyewe nina mastratergy ya kufa mtu
Rule na 1. Usikubali changu akachagua guest wewe ndo chagua muende wapi
Rile na 2. Kama ni overnite hakikisha mlango umefungwa na asijue funguo umeficha wapi safe place ka self container ni kwenye tank la flushing water
Rule na 3. Ka una vitu vya thamani viache safe place au conter ya guest
Rule na 4. Usilewe sana kupita kiasi utaibiwa incase na wewe ukitaka kumuingiza mjini mara nyingi hela zao huweka ktk blazia au kwenye pindo za skinitight
Ni hayo tu anyother time nitwapa maujanja zaidi
 
Watu wengine wako double lakini hawana tofauti na single, kutokana na treatment wanayopata kutoka kwa spouse wao.


Typical of men kujitetea... hamna lolote, ikiniambia nyumba ndogo nitaelewa sasa CD anaku treat vizuri just bcoz you are paying..
 
Kinyamkela zake ndimu na mwendawazimu lake jalala changu ya nini huende geust piga chuma mboga pande zinazolipa si unajuwa wapo kibiashara zaidi piga moko kasake mwingine naye piga moko hata rafu we cheza tena mtoboe ugali faster sepa haina kulemba
 
kiranja mkuu , pole muzee but where this place is...? r u in kenya or tanzania. some other time, kama unakumbwa na hali hii acha vitu vyako na hela ndani ya gariiiiiiiii nenda wewe , pesa ya malipo na mkonga tu.


He is in Kenya bro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom