soma gazeti la serekali ya smz kwenye mtandao wablog

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
GAZETI LA ZANZIBAR LEORahaleo, Zanzibar, TanzaniaShirika la Magazeti ya Serikali limeanzishwa kwa sheria namba 11 ya mwaka 2008.Shirika hili linachapicha magazeti ya Zanzibar Leo na Zanzibar Leo Jumapili.
gazeti la serekali kwenye blog. ni ukopsefu wa fedha au wataalaam?
SHIRIKA LA MAGAZETI YA SERIKALI ZANZIBAR
 
yani bwana muhogomchungu,hawa wazanz wanakosa capital na wataalam hata wa kufanya editing jamani,lol
 
kama wataala siamini kama n tatizo. kwani wapo wasmz wengi wamesoma IT, Nje ya nchi na bado wafanyakazi wa smz
 
Back
Top Bottom