Mponjoli
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 668
- 152
Wana Jamii wenzangu. Tumekuwa tukishuhudia migomo kila kukicha. Kuna wasomi wametafiti muda mrefu lakini politics zinafanya mambo ya msingi hayashughulikiwi.
Migomo imeanza toka University of Dar es salaam inaanzishwa mwaka 1970 (ilipojitenga kutoka University of East Africa). Wanafunzi wa vyuo vikuu wana matatizo yao, badala ya management kuyafanyia kazi wao wanaendeleza siasa. Kwa mwenendo huu migomo haitaisha. Someni hiki kitabu na tujadili. Kimeeleza mambo mengi sana ya msingi sana kuyazingatia.