SOLUTION:Button kadhaa za keyboard ya laptop hazifanyi kazi!!

Michosho

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
662
644
Wadua naombeni msaada,kwani laptop yangu button tatu zimegoma kabisa kufanya kazi.Nimesafisha kwa sprit baada ya kufungua lakini bado tatizo liko palepale..Pls,naombeni msaada,huenda kukawa na njia nyingine ya kufanya tatizo langu likaisha.
Thanks
 
Back
Top Bottom