Soln ya mafuta ni kuvunja ewura na kuteua walio wadilifu sio hawa wako kwenye payroll

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Unajua sakata la mafuta ni dogo sana mi nasema wazi kama rais angekuwa ana msimamo na kufikiria maslahi ya taifa badala yake binafsi tusingefika hapa tulipo..nimesoma mshenzi mmoja hana adabu anatpoa masaa 24 kwa serikali na serikaliwanamwomba wakae nae chini mshenzi kabisa hana adabu enzi za nyerere unamchapa viboko 12 unamweka ndani miaka kadhaa akitoka unamchaapa 12 akamwonyeshe mkewe leo anatuchapa viboko kuanzia rais mpaka baraza la mawaziri na saasa ameanza kutuchapa na sisi wananchi hana adabu kabisa

rais kikwete swala la kuwa na shell zio mbaya hayo ni mambo binafsi na kwangu mimi nakusifu maana ulikuwa nayo kabla hata ya uraisi..ila kinachoendelea mh rais ni kutuvua nguo kuanzia sisi wazazi wetu na vijukuu vyetu vilivyopo tumboni
sidhan ungekuwa rais mwadilifu ungekaa kimya hivi watu wanateseka watu wanatutukana na kuanzia wewe na serikali yako mnapewa 24hrs loh shame on us kwa kweli

swala la muhimu ni amka fufua ile tpdc ,,tpdc awajafa wapewe hela za kutosha walete mafuta hapa wao wawe wanawagawiwa hao wahuni wa masaa 24 uone kama kuna upumbavu utakaondelea..tatizo swala hili linakugusa na wewe binafsi na sio wewe tu hadi familia za wanaofanya kazi ewura..tumechoka atuitaji kuwa na watu walio kwenye payroll za wenye vituo vya mafuta na hili ndilo sababu umekaa kimya na hata ewura wamekaa kimya kuna sh kadhaa zinakusanywa kwa ajili ya wakurugenzi wa ewura na saasa wale wanaoshiriki kucheki ubora wa mafuta kila mtu anachukua mshahara karibu kila kituo uhuni gan wa maisha mh tunaelekea
mungu atusaidie lakini atatusaidiaje wakati tunaendeekeza wapaumbavu nchini mwetu kuna mada kadhaa za utapeli na matumizi mabaya ya ewura umekaa kimya jamani mpaka watuvue nguo za ndan maana za nje ziko wazi

embu tuasaiddie najua hii ewura sumatra ndio mnakopitishia hela za chama basi mwangalie jamani na hili la mafuta wananchi tuna umuhimu zaidi kuliko chama kwa nini msiwatimue hao kuna dili gan kati ya serikali ya kikwete na ewura
 
Ewura ni janga jingne. Maana ktk ges, umeme, mafuta na sasa mchakato wa urenium yaani wanazidi kutokota kama co kuharibu
 
Back
Top Bottom