Solar power System.

EJay

JF-Expert Member
May 21, 2012
693
172
Wapi wanauza Solar Power kwa bei nafuu Dar?Vifaa viwe complete yaani...
1.Panel 2 za watt 40@
2.betri dry cell 1.
3.solar power control
4.inverter
5.wires and bulb
then itagharimu kiasi gani.wadau naomba msaada hapo!
 
Mimi nipo UK kama utakuwa na subra tufanye biashara na vilevile utaweza kulinganisha na bei za huko lakini zikitoka huku ni uhakika.
 
Jaribu kariakoo mtaa wa Livingston niliwahi kuona duka la solar panels.
 
Nenda zara solar. Pale akiba opposite na nssf. Yaani bibi titi na morogoro. Mi nimenunua pale ya watts60 kwa 680,000. Hiyo ni materials zote na ufundi. Nina mwezi wa sita sasa, haijawahi kunisumbua chochote. Hata mvua ikinyesha napata umeme kama kawaida.
 
Nakushukuru sana Mkuu na Ubarikiwe kwa kuwa nilikuwa na kama laki 8 ambayo itatosha sasa kutokana na bei hiyo.
 
Mimi nipo UK kama utakuwa na subra tufanye biashara na vilevile utaweza kulinganisha na bei za huko lakini zikitoka huku ni uhakika.

Nashukuru na Ubarikiwe Mkuu,sasa bei yako ni kiasi gani pia ungenipa mchanganuo kwa ujumla!
 
Nenda zara solar. Pale akiba opposite na nssf. Yaani bibi titi na morogoro. Mi nimenunua pale ya watts60 kwa 680,000. Hiyo ni materials zote na ufundi. Nina mwezi wa sita sasa, haijawahi kunisumbua chochote. Hata mvua ikinyesha napata umeme kama kawaida.

Mkuu unaweza kutumia ni nini na nini kwa maana ya device za umeme? Mfano tv, redio na hata kuchaji simu.
 
Nakushukuru sana Mkuu na Ubarikiwe kwa kuwa nilikuwa na kama laki 8 ambayo itatosha sasa kutokana na bei hiyo.
Hakuna shaka ndugu. Ukifika pale jamaa watakupa maelezo yote, fundi wao mkuu anayetoa ushauri anaitwa Safari. Atakueleza kila kitu.
Laki nane inatosha kabisa kukimbia hizi kero za tanesco kama back up.
 
Wapi wanauza Solar Power kwa bei nafuu Dar?Vifaa viwe complete yaani...
1.Panel 2 za watt 40@
2.betri dry cell 1.
3.solar power control
4.inverter
5.wires and bulb
then itagharimu kiasi gani.wadau naomba msaada hapo!

Nipigie 0714 411171 Nikupe Panel.
 
Mkuu unaweza kutumia ni nini na nini kwa maana ya device za umeme? Mfano tv, redio na hata kuchaji simu.
Mimi nacharge laptop, Simu, Naweza kuwasha redio (japo situmii), naweza pia kuwasha feni, Nawasha taa Kama kumi za energy server (hizi za Kawaida kutoka Tronic) na zinaweza kukesha kama tano...kuhusu TV Mimi siwezi kuwasha kwa hivi sasa kwa umeme huu nilionao kwani TV ni LED ni pia ni kubwa sana.. Ningetaka System ya kuwasha mpaka TV, Home theatre na entertainment system ningelipa kama milioni mbili tu. Ila sikuwa na sababu hiyo.
NB: Kwa mahitaji yangu ya sasa, system hii inanitosha sana.
 
Nashukuru na Ubarikiwe Mkuu,sasa bei yako ni kiasi gani pia ungenipa mchanganuo kwa ujumla!

Kwakuwa nimeona hapo Doltyne ameweka bei ambayo ni pamoja na ufundi,nadhani ungewajaribu kwanza nahisi ni nafuu kwako.Kuna hii nimeiona kwa haraka tu ambayo haitakamilika vyote unavovitaka kwa bei labda shs 280,000 x 2.Hapo bado kuituma pamoja na vile vya nyiongeza unavovihitaji nadhani itakuwa bei juu.Na inaweza ikachelewa kufika vilevile ndio maana nikauliza kama unayo subra kutokana na ucheleweshwaji wa mizigo.
40w10a5m2.jpg

40W Monocrystalline solar panel
+ 10A solar regulator+ 5m cable& battery clipscomplete set, ready to charge battery!

Asanteni Nyote na Mbarikiwe sasa nimepata picha halisi.
 
Back
Top Bottom