SOLAR EQUIPMENTS - Wapi nitapata

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
10,270
8,031
Wadau, kutokana na wingi wa bidhaa hii hapa nchini naomba kujuzwa wapi naweza kupata genuine solar equipments kwa bei reasonable. ninayoweza kupower nyumba yangu kwa ac maana yake nahitaji inverter.

Mara nyingi nimewasiliana na makampuni yanayojishughulisha na bidhaa hiyo lakini huwa hawajibu email zangu, these are rex investments, ensol, umeme jua etc.

ikiwa unajua duka au individual please let me know
 
wasiliana na Hilda Kiel wa Rex yeye ni marketing manager..0773 92 99 91
 
hivi hamwezi kudisplay hizi bei kwenye website yenu?

Mkuu, mi si Rex, ni mteja kama wewe. Kuna kipindi nilikuwa nahitaji hiyo huduma ndo wakanitumia, ila ilichukua kama miezi 2 kupata hiyo price list yao ambayo ni bila installation fees, check na jamaa wa pale davis & Shirtliff wapo very active 0713 415689
 
Unaweza kucheck pia na GLENENERGY TANZANIA-Mr. Lyimo 0788759981 NA 0754759981
 
Mkuu, mi si Rex, ni mteja kama wewe. Kuna kipindi nilikuwa nahitaji hiyo huduma ndo wakanitumia, ila ilichukua kama miezi 2 kupata hiyo price list yao ambayo ni bila installation fees, check na jamaa wa pale davis & Shirtliff wapo very active 0713 415689

Asante mkuu, kwa kweli markerting bado watz wengi tuko nyuma...2months?
 
wasiliana na Hilda Kiel wa Rex yeye ni marketing manager..0773 92 99 91

Hao Rex wanamapromise kama wanasiasa.

Jengo la Redcross kuna kampuni wanaitwa Zara, huduma bomba, vifaa jenuin, wapo hadi mikoani. Nimepata huduma yao kwenye nyumba 3 tofauti nawakubali.
Kuna kijana aitwa Safari-0713965023 anakufungia bila kufanya wiring mpya.

Huko kwingine kidhungu kingi ila huduma uwe mvumilivu
 
asante mkuu. kuna mtu mwingine kanirefer kwa huyu Safari, nashukuru sana.
 
Wadau, kutokana na wingi wa bidhaa hii hapa nchini naomba kujuzwa wapi naweza kupata genuine solar equipments kwa bei reasonable. ninayoweza kupower nyumba yangu kwa ac maana yake nahitaji inverter.

Mara nyingi nimewasiliana na makampuni yanayojishughulisha na bidhaa hiyo lakini huwa hawajibu email zangu, these are rex investments, ensol, umeme jua etc.

ikiwa unajua duka au individual please let me know

Mkuu mala nyingi watumiaji wa solar power huwa wanadhani kutaja tu vitu vyao watumiavyo ndani basi wamemaliza kazi,kiukweli ili uweze kukidhi mahitaji yako unahitaji kufahamu yafuatayo
1.vifaa vyako kwa ujumla vina power kiasi gani(eg Tv ya rangi 100W)
2.Utakuwa unatumia vitu vyako kwa masaa mangapi kwa siku
3.je hapo ulipo kunajua la kutosha kama no utahitaji kihifadhi charge kizuri

baada ya kuelewa hivyo sasa mkuu tunaingia ktk designing ya system yako nikimaanisha
1.designing ya solar system(yaani utahitaji panel ngapi kwa vyombo ulivyonavyo)
2.designing ya inveter iwe ya power ngapi
3.designing ya charger contoler iwe ni ya ukubwa upi
4.designing ya battery ziwe za size ipi(hii hutegemea sana size ya panel baada ya designing)
baada ya hapo ndipo ununuaji wa solar equipments hufanyika,bahati mbaya sana mimi hufanya kazi ya kutuma vifaa hivyo kutoka hapa nilipo na kuvileta Tz na kipindi hiki nimesimama kidogo
 
Back
Top Bottom