SOKSI MNAVAAJE? {swali}

nkyandwale

Member
Feb 8, 2011
64
14
SOKSI MNAVAAJE?

1.Nipo ngangari kuhoji 5. Miguu mashakani
Vazi la soksi na uvaaji ! Haifai matembezini

2. Sitambui kushoto wala kuliya 6. Soksi mnavaaje
Miguu ndani ikitumbukiya ! Nyie mwazipatiaje

3. Vazi hili halina ghali 7.Wengi miguu vibutu !
Hasa hutegemeya dalali Imemezwa na kurutu

4. Miguu kuota kuvu 8. Wanazuo nipe jibu
Yenye kujaa kovu Nisibaki na majipu. :hand:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom