Sokoni One Arusha FFU wamwagwa

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Baada ya Serikali chini ya usimamizi wa kura kuamua kuibeba CCM yao kwa nguvu na kutumia pesa yangu kodi bila ya kujali wala kusoma alama za nyakati kwamba CCM haina mvuto tena wameamua kutumia nguvu zaidi pale Sokoni one ambako wananchi wameikataa CCM kwa uwazi .Chanzo changu cha habari ambacho kipo serikalini na kinasema siri ya CCM ni kwamba wanaitumia Serikali kutumia kila uwezo na polisi kuiba kura kwa nguvu, kinasema upinzani ni mkali sana na watu wameamka na hata hakutegemea kuona haya Arusha . Kata 14 zina upinzani kila kona na kata 3 zimeshindwa kusimamisha mpinzani kwa matisho mabaya na watu wameamua kuiacha CCM ipite bila ya kupingwa . Sikiliza na tega sikio utajua kwamba wakuu wa Wilaya wa JK na wakuu wa mikoa ambao ni wana siasa wanavyo chukua upande mmoja ili kuisaidia CCM . Fuatilia sakata hili hadi Jpili wakisha tangaza matokeo utasikia mwenyewe . Polisi kila Wilaya Tanzania watatumia ipasavyo kuhakikisha kwamba CCM inashinda kwa matakwa ya wakuu wa Wilaya .

Demokrasia iko wapi jamani ?
 
Tanzania is increasingly becoming a police state, to the extent that these FFU chaps, who formely used to sit around idle waiting eagerly for riots, are actually close to earning their living now.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom