Sokoni Jamani.......Jamani sokoni!!!!......Hasa Sokoni Arushaaaaa!!!!..

Gugwe

Senior Member
Jul 25, 2011
122
54
Wana Jf naomba kuwasilisha,

Kwa uchunguzi wangu wa muda sasa nimegundua kuwa sokoni hasa Arusha na kwingineko kuna wanawake wazuri sana tena wale wenye maumbo ya figa nane hasa zilizojaa kisawasawa. Na kwa nini najiuliza wengi wao wankuwa na figa hizo?

Ambao ndio ugonjwa wnagu haswaaa! wallah, ukitaka mwanamke mchakarikaji na hot nenda kwa wafanyabiashara wa sokoni kokote Tanzania
 
Dah, hii ndo JF bwana! Haya chagua mmja unyanyuke nae. Kilio badae hatutaki!
 
soko gani arusha? kilombero, soko kuu, mbauda, soko mjingaa, tengeru, oldonyo, kerai, kisongo, sokoni one, engara emotonyi.....
 
soko gani arusha? kilombero, soko kuu, mbauda, soko mjingaa, tengeru, oldonyo, kerai, kisongo, sokoni one, engara emotonyi.....

Soko kuu mkuu, usiende tengeru, oldonyo, kisongo, engara emotonyi, mbauda utakutana na akina mama yeyoo na mitandio yao hawana dili, ukishindwa sana nenda kilombero......halafu mbaya zaidi hata akina mama/wanawake wanaokuja nunua vitu sokoni nao wanakuwa sio mbaya sana mashallah! sijui kwanini lakini...but why?!!
 
  • Thanks
Reactions: bht

hahaaaa, lishe bora Gugwe(jina lako karibu vidole viteguke), heheeeee hayo masoko bana...daah yana wanawake wanajua kuzisaka noti....(kiongozi nahisi unawapenda wanawake wachakarikaji)

weee wamama yeyoo achana nao, wanajua kuchakarika aisee....wakipita mitaa ya 'high' class utasikia wananadi biddhaa kwa kimombo

....timato, timatoo, timatoo
....binsi binsi binsiii yeyaaaaa
....bananaaa, bananaa, yeyaaaaa
....potetoo, potetooo,......
 
Back
Top Bottom