Sokoine na Kolimba, vifo vyao vilimkera Mwalimu kiasi gani?

suala mbona liko wazi hata mhusika mwenyewe alitamka wazi kwamba wafuasi watiifu wa chadema ndio waliommwagia tindikali usoni na kumtia ulemavu unadhani kwa nini hakuwataja nccr mageuzi?ina maana wewe unajua kuliko yeye alieumia wakati hukuwepo hata eneo la tukio..msirudie tena mambo haya ya kipuuzi huko arumeru,muwaonye wafusi wenu nasikia wamepania kufanya vurugu huko
Jaribu kuwa inteligent kidogo tu,kesi yoyote huwa haihukumiwi kutokana na madai ya mlalamikaji na polisi pekee,ndio maana ushahidi wa kutosha huhitajika.kutoka kwa mashuhuda wengine.
Hapa naona wewe na yeye muathirika wa acid, mmejaa u-ccm pekee na pale ambapo lolote baya la kibinadamu linapowakuta basi nyie hukimbilia kudhani linafanywa na mahasimu wenu wakuu nchini ambao kwa sasa ni cdm?
Je hudhani klwamba kuna uwqezekano wa yeye kuumizwa na wana ccm wenzie pengine kwa kudhulumiana mgao wa posho nk?
Kuhusu arumeru umetufumbua macho kuwa ccm inapanga kutumia vurugu za sungusungu ili kuvuruga uchaguzi kwa kisingizio ni wafuasi wa cdm
 
Tunajadili mawazo ya marehemu kwani sisi tulio wazima leo hii hatuna tena mawazo? Akili zetu zimebadilishwa na mifumo ya Computer (Software)? Wewe mtoa mada ungesema CCM wamekwama wapi na nini wanatakiwa wafanye ili kujikwamua

Ccm wamekwama kwa kuwa na Mwenyekiti asiyekuwa na maono [VISION] ya kukiongoza chama bila kutegemea fedha za mafisadi!! Sasa mafisadi ndio wanaokiongoza chama na kuwaondoa inakuwa vigumu kwasababu wao ndio waliomuweka madarakani. CCM is a moribund party!!
 
1.mnamkumbuka Horace Kolimba

2.aliwahi kuwa katibu mkuu wa ccm,na moja ya kauli zake tata ilikuwa CCM INANUKA RUSHWA TENA IMEOZA,NANG'ATUKA

3.unajua nini kilimkuta baada ya hyo kauli?MAUTI NA KIFO CHAKE KILIKUWA CHA UTATA SANA SIJUI KAMA WALIUNDA TUME.

JE,inamaana mtu yeyote mwenye mtazamo tofauti na wana ccm anakuwa ni adui?

hakika ccm haijaanza leo kuweka vizuizi katika uhuru wa maoni,na ndio maana weng wao wenye mtazamo tofauti na chama walikumbwa na matukio yakutisha.

POLENI WETU MLIOKUMBWA NA HAYA HAKIKA DAMU YENU ITAKUWA CHACHU YA UKOMBOZI WA TAIFA HILI.
 
Mwalimu Julius Nyerere, "CCM inaweza kubadilika. Siku ikiacha misingi nami naachana nayo, CCM si mama yangu. Ninaye mama mmoja tu."

Mwalimu Julius Nyerere, "Mtu ye yote mwenye akili akikupa mawazo ya kipumbavu na wewe una akili na unajua ni ya kipumbavu na ukayakubali, atakudharau. Sasa hatuwezi tukakubali mambo ya kipumbavu Tanzania."

Je baada ya hapo hali ilikuwaje?

Mwalimu aliugua, hali ikawa mbaya, Profesa Mwakyusa hakupata kwenda Butiama kumtibu, badala yake akawa anamtumia Dk. Malima. Alikuwa akitibu kwa kutumia simu. Dk. Mwakyusa alienda Butiama siku alipoambiwa hali ya Mwalimu inazidi kuwa mbaya, ndipo akapanda ndege, wakaja wakamchukua na kwenda naye Dar es Salaam.

Lakini wakati huo mfanyabiashara, Christopher Gachuma, alishakwenda kumjulia hali Mwalimu. Akamkuta anataabika kweli kweli. Nakumbuka nilikuwapo na Gachuma alilia machozi. Akamweleza Mwalimu, ‘naomba Mwalimu nikupeleke Nairobi ukatibiwe'. Mwalimu akakataa kata kata, akasema; "kama hawataki... hawa hawataki kunitibu niache nifie hapa hapa nyumbani kwangu". Gachuma alimbembeleza sana, lakini Mwalimu alikataa.

Mwalimu Julius Nyerere, "[SIZE=-1]Najua sitapona toka ugonjwa huu. Nasikitika kuwaacha Watanzania wangu. Najua watalia sana. Lakini mimi nitawaombea mbele ya Mungu.[/SIZE]"

Tarehe 14 Octoba, 1999 - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliaga dunia.
 
Mwalimu Julius Nyerere, "CCM inaweza kubadilika. Siku ikiacha misingi nami naachana nayo, CCM si mama yangu. Ninaye mama mmoja tu."

Mwalimu Julius Nyerere, "Mtu ye yote mwenye akili akikupa mawazo ya kipumbavu na wewe una akili na unajua ni ya kipumbavu na ukayakubali, atakudharau. Sasa hatuwezi tukakubali mambo ya kipumbavu Tanzania."

Je baada ya hapo hali ilikuwaje?

Mwalimu Julius Nyerere, "[SIZE=-1]Najua sitapona toka ugonjwa huu. Nasikitika kuwaacha Watanzania wangu. Najua watalia sana. Lakini mimi nitawaombea mbele ya Mungu.[/SIZE]"

Tarehe 14 Octoba, 1999 - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliaga dunia.

dah,inamana na jk nyerere walimuua?
 
1.mnamkumbuka Horace Kolimba

2.aliwahi kuwa katibu mkuu wa ccm,na moja ya kauli zake tata ilikuwa CCM INANUKA RUSHWA TENA IMEOZA,NANG'ATUKA

3.unajua nini kilimkuta baada ya hyo kauli?MAUTI NA KIFO CHAKE KILIKUWA CHA UTATA SANA SIJUI KAMA WALIUNDA TUME.

JE,inamaana mtu yeyote mwenye mtazamo tofauti na wana ccm anakuwa ni adui?

hakika ccm haijaanza leo kuweka vizuizi katika uhuru wa maoni,na ndio maana weng wao wenye mtazamo tofauti na chama walikumbwa na matukio yakutisha.

POLENI WETU MLIOKUMBWA NA HAYA HAKIKA DAMU YENU ITAKUWA CHACHU YA UKOMBOZI WA TAIFA HILI.

haya maelezo yako hakuna wakukushauri maana aliyetakiwa akushauri alishakufa, naye ni julius nyerere. labda angekua hai ungemuuliza hivi wewe mzee mlipomuita kolimba dodoma kwa nini hakurudi hai kutokana na kauli yake kuwa ccm haina dira wala muelekeo?
 
Kina kundi kubwa ktk chama ambao wana chuki kubwa sana ya watangulizi na hasa Nyerere. Sishangai kabisa maoni ya kupuuzia historia. QUOTE=kilimasera;1739279]mzee umewahi kusoma historia??[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom