Sokoine ali-groom Edward Lowasa

MAMC

Senior Member
Jan 3, 2012
139
66
Kama ni kweli Sokoine alim-groom Lowasa, basi tumpe 2015 japo atukomboe hii miaka michache aliyobakiza,

Kama kuna mtu anajua ni mwizi aseme kaiba nini, mana kama kujiuzuru hata Mwinyi aliwahi jiuzuru hafu akaja kuwa Rais wa Zanzibar, na URT - kwa hiyo kujiuzuru ni swaga!
 
Nadhani mpaka akuibie mkeo ndio utajua jamaa ni mwizi...vinginevyo tukikuambia ni mwizi utakataa tu. Ubovu wa Lowasaa ni uroho wa mali, anakwapumua mali za umma kila kukicha. Hata scandal ya Richmond nawe hukusikia? Kampuni ya kuuza stationaries kupewa tender ya kufua umeme kwa ajili ya grid ya taifa, wewe unaona alifanya tu hivi hivi. Kwa taarifa yako, wataalamu waliojitahidi kushauri walitishiwa uhai...galamaho! Nyerere asingeweza kumsingizia ile 1995, kwamba haka ni kachafu tayari.
Akawe rais nyumbani kwenu aroo.!
 
A new approach eh?

Sasa munataka kumuunganisha Sokoine na EL, naona hii kali inawasha mpaka kooni.

EL FOR NEVER and not FOR EVER!
 
E l alishindwa kanusha tuhuma alizopewa na nape kuhusu mkataba wa kitega uchumi cha uvccm
 
Nadhani mpaka akuibie mkeo ndio utajua jamaa ni mwizi...vinginevyo tukikuambia ni mwizi utakataa tu. Ubovu wa Lowasaa ni uroho wa mali, anakwapumua mali za umma kila kukicha. Hata scandal ya Richmond nawe hukusikia? Kampuni ya kuuza stationaries kupewa tender ya kufua umeme kwa ajili ya grid ya taifa, wewe unaona alifanya tu hivi hivi. Kwa taarifa yako, wataalamu waliojitahidi kushauri walitishiwa uhai...galamaho! Nyerere asingeweza kumsingizia ile 1995, kwamba haka ni kachafu tayari.
Akawe rais nyumbani kwenu aroo.!

naona hapa tunazungumzia vitu viwili kabisa ambavyo hata siku moja havitakuja kuwa sawa. Ni vitu vyenye tofauti kubwa na za msingi.

Ni kama kuzungumzia

Ujamaa na ubepari
Uislamu na ukristo
 
tuko million 40 hivi lazima tumpe lowasa urais? mimi nakereka sana na watu wanaobeba upuuzi .huyu afanye asifanye aachane na siasa muda wake ushapita head master wangu mmoja alikuwa anasema kuhisi ni kosa lakini kuhisiwa ni kosa zaidi sasa mnataka ushahidi gani? ikiwa polisi mwenyewe halali mlango wazi wakati kazi yake ni kulinda raia na mali zao tena kwenye mto analala na bastola! sasa hapa hakieleweki nini? angalia tusipitie kwenye screen kwa hasira! kwa kifupi tunafikilia ni jinsi gani tuachane na ubinafsi lakini tunashindwa lakini kwa imani yangu kamwe hatakuwa rais na nadhani binafsi analijua hilo anachofanya ni kutengeneza mtandao mwingine kwa jinsi ingine ila si dhani kama antegemea hivyo japo ana utaka
 
Naomba tuiheshimu kumbukumbu ya Hayati E.M.Sokoine.Haiwezekani awe ali-groom huyu mtu aliyejifanyia utajiri kwa kutumia mali za taifa hili kwa ajili ya faida zake mwenyewe.Hata kama alipitia mikononi mwake basi alipotea katikati na akafuata njia zake anazozijua yeye akiongozwa na tamaa zake.Hebu kajaribu kupitia historia ya maisha ya E.M.Sokoine halafu urudi hapa na kurudia hili bandiko lako upya.
*Na kwa nini iwe EL tu ndiye masihi wa kulikomboa taifa hili?
*Hakuna mwingine kweli?
*Alishapata nafasi ya kudhihirisha anachoweza kulifanyia taifa hili aliitumiaje?
*Kwa nini tulifanye taifa hili kama chombo cha majaribio?
 
tuko million 40 hivi lazima tumpe lowasa urais? mimi nakereka sana na watu wanaobeba upuuzi .huyu afanye asifanye aachane na siasa muda wake ushapita head master wangu mmoja alikuwa anasema kuhisi ni kosa lakini kuhisiwa ni kosa zaidi sasa mnataka ushahidi gani? ikiwa polisi mwenyewe halali mlango wazi wakati kazi yake ni kulinda raia na mali zao tena kwenye mto analala na bastola! sasa hapa hakieleweki nini? angalia tusipitie kwenye screen kwa hasira! kwa kifupi tunafikilia ni jinsi gani tuachane na ubinafsi lakini tunashindwa lakini kwa imani yangu kamwe hatakuwa rais na nadhani binafsi analijua hilo anachofanya ni kutengeneza mtandao mwingine kwa jinsi ingine ila si dhani kama antegemea hivyo japo ana utaka
Mkuu Chiwa nimeipenda hii'kuhis ni kosa kuhisiwa ni kosa zaidi'.
 
Kama ni kweli Sokoine alim-groom Lowasa, basi tumpe 2015 japo atukomboe hii miaka michache aliyobakiza,

Kama kuna mtu anajua ni mwizi aseme kaiba nini, mana kama kujiuzuru hata Mwinyi aliwahi jiuzuru hafu akaja kuwa Rais wa Zanzibar, na URT - kwa hiyo kujiuzuru ni swaga!

Mkuu Edward Sokoine alikuwa mtu wa watu tofauti sana sana na Edward Lowassa.
Sokoine is on record kwa kumweka ndani kaka yake na Kawawa kule Mwanza.
Leo Sokoine angekuwa na madaraka angemweka ndani Lowassa,thats for sure!
 
Wewe acha kumpakazia waziri wetu mkuu kipenzi (rip Sokoine). Sokoine mwadilifu na mchapakazi hawezi kugroom mwizi na fisadi. Ondoa huo upuuzi hapa.
 
Waheshimiwa WanaJF EDWARD MORINGE SOKOINE na EDWARD NGOYAI LOWASSA walikutana wapi qani kwa ufahamu wangu 1984 EL hakuwa mwanasiasa na hakuna mtu aliyekuwa anamjua. Pia aliyerithi ubunge wa Monduli hakuwa EL bali Luteni Ole MOLOIMETI. MACM tafadhali chambua vizuri kufundwa kwa EL na ES au ni kufanana kwa majina ya kwanza, au kutoka wote Monduli, au kuwa wabunge wa Monduli qa muda Mrefu au ni UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI QA NIA YA KIDHALIMU. fafanua hoja vizuri usituletee Ulisinde.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom