Soko ndani ya JF linadai Matchmaker forum........................

wakati wana JF walipokutana Arusha....waliliwakilisha hilo kwa Maxence....nadhani atakuwa analifanyia kazi
Aiseee Preta kumbe unakumbukumbu nilifikiri umesahau lol!!!! Nafikiri Maxence atakuwa ameishaanza kuwatengenezea separate forum wenye huo huhitaji
 
PHP:
Aiseee Preta kumbe unakumbukumbu nilifikiri umesahau lol!!!! Nafikiri Maxence atakuwa ameishaanza kuwatengenezea separate forum wenye huo huhitaji

Wewe huna uhitaji huo?
 
PHP:
Mkongwe wa JF anasema sikupita kule kwenye lile jukwaa,niliingia kinyemela.....inabidi nianze upya......:coffee:

Wengi mbona hatujajitambulisha na tunaswaga lami bila zengwe...................just ignore the advice..............................
 
Nimepitia maoni ya wana-JF wengi humu na kubaini kuna kiu kubwa ya forum ya matchmaker.....................wako wengi wanataka uchumba au urafiki lakini wanajimungunya humu kwa kukosa forum sahihi ya kujimwaga.............................

Sijui wenzangu mnalionaje hili.................................lifanyiwe kazi au la......................

kweli bwana. Tushachoka kujimung'unya. Lol!
 
Kuna swali najiuliza,
Hivi likiwepo jukwaa la matchmaker (matchmaker forum),
Halafu watu wakaanza kupigana vibuti, ni nani atakuwa anaamua huo ugomvi??
Watu wakanzaa kuoneana wivu, mfano klorokwini anaumia pindi anapogundua Finest nae anamtafuta Preta?
Najaribu kufikiria vurugu za kwene mahusiano zinapotokea kwa sababu uwezekano huo nadhani upo ni nani atahusika au
Invisible? na BAN.

Au LD anapogundua Michelle nae anamtafuta Hashcool, hivi hii imekaa je?
Maxces atakuwa Paroko na Invisible Askofu wa kusuluhisha hii mambo au BAN na INVISIBLE.
 
hehehe hiyo dasophy usiitaje bana itaharib apetait yangu ya kukoga, heheheh si unaona maneno sasa bana. tupendane kama email na password . hivi nikiuliza ulikuwepo wapi hautokasirika?

nakuhakikishia nilikwenda kurenyuu limbwata...huko Sumbawanga......sasa nitakumiliki jumla......
 
Naunga mkono asilimia 100. Hili suala la match maker naomba lifanyiwe kazi haraka jamani...! Watu tutakufa WASEJA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom