SOKO LA WAGANGA WA KIENYEJI lapanda

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Amini usiamini kumpata mganga wa kienyeji ni lazima ufanye booking before three days karibu katika mikoa yote ya Tanganyika na chati ya waganga hao sasa imepanda na kuwa dili kubwa kiasi ya kwamba waganga wameanza kuongezeka kama mafundi wa majenereta ,si mchezo.

Tahadhari unaweza ukafungiwa chochote na ukaambiwa ni dawa.:spy:
 
Back
Top Bottom