Soko la Tunduma laungua tena

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
soko jingine tena laungua moto.ivi saizi naelekea eneo la tukio huku nyumban naona moshi mwingi hewan na moto unawaka kwa kasi.polen ndg zangu wote wa tunduma
 
Kuna moto unawaka usiku huu huko Tunduma mkoani Mbeya na inasemekana unateketeza maduka katika eneo la maduka ya nguo. Sina taarifa kamili lakini ni habari ya kweli toka kwa mtu anayeelekea huko usiku huu. Kama kuna mdau wa huko anaweza kutuhabarisha zaidi...
 
soko jingine tena laungua moto.ivi saizi naelekea eneo la tukio huku nyumban naona moshi mwingi hewan na moto unawaka kwa kasi.polen ndg zangu wote wa tunduma

Baada ya hapo utasikia ndege imeanguka uwanja wa Mbeya........
 
hujuma............

Hata mimi nimehisi hivyo....masoko ya mkoa wa Mbeya (Mwanjelwa na Tunduma...yote majimbo ya Chadema) na Moshi (pia Chadema) yanaungua sana. Na huko kwenye masoko hayo ndiko walipo washabiki wa Chadema...sasa ni hao washabiki wa Chadema wanafanya hujuma....au wanafanyiwa hujuma na 'system'?
 
Hakuna siasa ni ushirikina wa wakinga tu. Mkinga anaweza kuwa anamiliki nyumba ya ghorofa na mabasi lakini anakula kwa mama ntilie gengeni na kuvaa marapurapu.
 
Hakuna siasa ni ushirikina wa wakinga tu. Mkinga anaweza kuwa anamiliki nyumba ya ghorofa na mabasi lakini anakula kwa mama ntilie gengeni na kuvaa marapurapu.

Yasemekana wewe ni mganga wa wakinga ndounagawa huo uchawi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom