Ndugu zangu habari zenu. Poleni na pilikapilika za hapa na pale za maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa iliyokuwa Tanganyika leo inaitwa Tanzania bara. pia poleni kwa maandalizi ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Leo nimeona nije hapa jamvini kuomba ushauri kwani naamini fika kuwa kuna watu wana uelewa wa mambo mengi na wahenga walisema penye wengi hapaharibiki jambo.
Naomba ushauri kuhusu soko la mitumba hapa Tanzania hususani Dar Es Salaam, sina ujuzi wa biashara hiyo lakini ninaweza kupata link ya kuleta mituka kutioka USA lakini nataka nijue soko lake likoje, utaratibu wa kuendesha biashara hii hapa kwetu, na mambo kadhaa yanayotakiwa (do's & dont's, challenges, expectation etc)
Tafadhali naombeni ushauri wenu ndugu zangu coz niko ktk harakati za kujikwamua ktk umasikini.
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa wote watakaotoa comments. You any comment is highly valuable and appriciated.
Nawasilisha