soko la asali

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,859
1,302
Nina asali safi tani 5, natafuta soko.
Bei ni maelewano, na kwa kukubaliana naweza kumsafirishia hadi popote ndani ta TZ.
Asali hii imetokana na misitu ya asili. Ni asali safi ambayo haikuchemshwa na ina viwango vya kimataifa; imekuwa approved na TBS
 
Eee bwana eeeh kama iko kwenye kiwango kwa TBS kwanini usitafute soko la nje ukaachana na umasikini? ni Asali ya Tabora?
 
Eee bwana eeeh kama iko kwenye kiwango kwa TBS kwanini usitafute soko la nje ukaachana na umasikini? ni Asali ta Tabora?
Nipe hilo soko la nje kama unalijua ili nifuatilie.

Ni CHEMA HONEY
TBS APPROVED na kupewa namba ifuatayo
TPC 0048
Maana yake ni kwamba hii ni European Union Standard
 
imedhibitishwa kweli na tbs au ni lugha ya biashara tu.

TBS APPROVED na kupewa namba ifuatayo
TPC 0048
Maana yake ni kwamba hii ni European Union Standard
Siwezi kuwasingizia TBS, si unaweza kuwauliza?

La msingi nitafutie soko liwe la nje au ndani
 
TBS APPROVED na kupewa namba ifuatayo
TPC 0048
Maana yake ni kwamba hii ni European Union Standard
Siwezi kuwasingizia TBS, si unaweza kuwauliza?

La msingi nitafutie soko liwe la nje au ndani

Vipi kama mtu anahitaji kiasi kidogo tu kwa matumizi ya nyumbani?
 
Vipi kama mtu anahitaji kiasi kidogo tu kwa matumizi ya nyumbani?

mh! mwanangu hii kali! ujasiriamali utamfaidi nn? na hizo tani tano atauza muda gani, amewekeza pesa ngapi, itamlipa?
 
................kuna soko nje lakini linataka hati ya ubora kwa viwango zaidi ya TBS; kama vile, "Organic" ikimaanisha asali iliyozalishwa kuzingatia mfumo ambao hapa kwetu Tanzania ujulikanao kuwa ni KILIMO HAI. Na je, unaweza kuwa unazalisha kiasi gani na kwa muda gani. Mnunuzi atahitaji kuelewa uwezo wako wa kuzalisha kiasi kile mtakachokubaliana kwa maalum na asali ikawa na kiwango cha ubora, na kiasi kile kile mara zote utapotakiwa kusafirisha. endapo unaona hilo ni sawa; uniambie niwasiliane na wanunuzi hao.
 
Nina asali safi tani 5, natafuta soko.
Bei ni maelewano, na kwa kukubaliana naweza kumsafirishia hadi popote ndani ta TZ.
Asali hii imetokana na misitu ya asili. Ni asali safi ambayo haikuchemshwa na ina viwango vya kimataifa; imekuwa approved na TBS

naomba contacts zako please.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom