SOKO LA AJIRA LINAPOTAWALIWA NA WADAU 'WATANZANIA WA-ASIA!'-itakuwaje in 10 yrs?

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
ajira imekuwa ngumu sana!
ukimuuliza mzee mzaliwa wa miaka ya 1950 ALIYESOMA atakwambia alipomaliza 'middle-school'alikuta jina lake limetoka kwenye ajira katika wizara tatu tofauti..................na blah blah nyingine nyingi.

ZAMA HIZI ZA SAYANSI NA TECHNOLOJIA:ajira zimekuwa ngumu saaana.na kwakweli kupata kazi serikalini ni kama ndoto.wasomi wengi 'wamejishikiza' kwa wawekezaji na wajasiliamali binafsi kwenye fani tofauti ikiwa ni pamoja na ujenzi,biashara,uhasibu,na sehemu nyingine nyingi.

Ukiangalia kwa JICHO LA TATU,utagundua kwamba wawekezaji na wajasilliamali wenye asili ya ki-asia ndio WAMESHIKILIA SOKO LA AJIRA kwa kizazi hichi.

mfano:ukihudhuria tender opening ceremonies(iwe construction,cleaning,au yoyote unayoijua),kama kuna makampuni 15,basi 8 ni wachina,5 ni wahindi,moja ni waarabu,na moja ni mzawa

kwa uzoefu wangu,wajasiliamali hawa wanawaajili watu kwa mishahara midogo sana,unless anajua ataitumia cv yako kuombea kazi/miradi.lakin wengi wetu TUNAAJIRIWA kwa ujira mdogo sana(ukibahatika kuajiriwa).

kundi kubwa la watu(professionals na unprofessionals) HAWAAJILIWI KABISA.ni kama daily workers.

Naiangalia tanzania hii 'iliyobadilika sana kiuchumi' Baada ya miaka kumi itakuwaje?SIPATI PICHA KABISA

Sijui wadau mnaona taswira gani juu ya UZAO WETU SISI,hasa ukizingatia kwamba tunataabika sana kwa sasa

karibuni......................
 
mfano:ukihudhuria tender opening ceremonies(iwe construction,cleaning,au yoyote unayoijua),kama kuna makampuni 15,basi 8 ni wachina,5 ni wahindi,moja ni waarabu,na moja ni mzawa
Watanzania mnapiga majungu..anzisheni na nyie makampuni...jiwezesheni.....muulizeni huyu mama kafanikiwa vipi?..

MICHUZI

......mkuu mtakalia kupiga makelele juu ya hawa waasia mpaak kiyama na wanasonga mbele tu.......
 
SAWA KAKA!
kumbuka tu huo mfano uliotoa SIO RELEVANT KWA WATANZANIA WENGI WAVUJA JASHO.unawazungumzia watu wenye access
 
SAWA KAKA!
kumbuka tu huo mfano uliotoa SIO RELEVANT KWA WATANZANIA WENGI WAVUJA JASHO.unawazungumzia watu wenye access
watz kibao wanalia na waasia kuwa wanachukua kazi zao kuanzia biashara mpaka huko juu kwenye matenda....hawajaiulizi kwanini wanachukuliwa waasia wenyewe wanaachwa
 
watz kibao wanalia na waasia kuwa wanachukua kazi zao kuanzia biashara mpaka huko juu kwenye matenda....hawajaiulizi kwanini wanachukuliwa waasia wenyewe wanaachwa

Yo Yo,
niambie kwa mfano wewe ungeulizwa kwanini UNGESEMAJE?
Nina ugomvi na hao Asian-Africans, lakini kwenye hili nitasema tatizo ni elimu, haswa ya ujasiriamali.
Naiangalia tanzania hii 'iliyobadilika sana kiuchumi' Baada ya miaka kumi itakuwaje?SIPATI PICHA KABISA
Wala usiiangalie Tanzania kabla hujaitizama familia yako. This is not the age of "the strongest will survive", but rather the wisest. Those who will adapt to change will survive.
 
Back
Top Bottom