Soko kwa kwa wakulima wa Dengu

unatoa sh ngapi kama wekezo la kumhakikishia muuzaji atakaye kusanya haraka kama anafahamu zinapouzwa. toa ofa ya bei kwa kilo ya dengu husika, na tafadhari pia sema ununuzi huo utadumu kwa muda gani isije ikawa wazihitaji leo halafu kesho ukasema tayari zimetimia. pia sema ni njia ipi ya mawasiliano kuwaupdate watakaokuletea kujua kiasi ambacho bado unahitaji wasije wakaaleta kiasi cha tani 120 kumbe tayari muda huuu umeshapata tani 50
 
You talk sense Lukundo.
Nitumie message kwenye 0732-993834 ili tuzungumze biashara
 
Wewe uko wapi mimi niko shinyanga sasa hivi, nina mtu ni mfanyabiahasahara ya dengu hadi tani 200, sijui kama uko serious nikutumie nikuunganishe nae,sasa hivi
 
Asanteni sana kwa wale mnaoendelea kuwasiliana nasi. Hakika JF ni rasilimali zaidi ya POKOPOKO. Shime tuitumie kujenga uchumi.

Order hii ni kubwa, naomba wale ambao hatujawasiliana wasisite kuwasiliana nasi.

i498_SanjalaJF.jpg
 
Wewe uko wapi mimi niko shinyanga sasa hivi, nina mtu ni mfanyabiahasahara ya dengu hadi tani 200, sijui kama uko serious nikutumie nikuunganishe nae,sasa hivi

robwene,
Sijawahi na sitafanya masihala hata siku moja katika suala la biashara kwa kutumia JF. kwa ufupi niko zaidi ya SERIOUS!

Niunganishe na huyo mfanyabiashara kwa kunisaidia no. yake. Samahani, tumia 0732-99-38-34

i498_SanjalaJF.jpg
 
Write your reply...bei ya unga wa dengu kwa kilo kwa sasa ni sh ngapi? Anayejua tafadhali anijibu bei kwa mkoa
 
Back
Top Bottom