BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,032
- 3,944
Kwenu Wataalamu JF. Nina maswali mawili ambayo wengi wenu mnaweza kuyaona ni rahisi lakini kwa sisi ambao tumeanza ;kucheza' na Computer baada ya kustaafu kazi ofisi za serikali zisizo na Computer (siku hizi ndio nasikia wanajitahidi kuziweka maofisini!) ni maumivu matupu kutokana na kutokuwa computer savvy. Tuvumiliane.
-Nimekuwa nikiona thread zinazoonyesha link ambazo zitakuwezesha kuona mechi za soka kupitia computer yako. swali. unapoingia katika link hii na kuanza uangalia mpira bila shaka kinacholika ni hela iliyomo kwenye kifurushi cha internet nilicho nacho. Je mechi moja ya dakika 90 inaweza kuwa ni MG ngapi?? Kama nimeweka kifurushi za Zain cha MG 400 kwa shilingi 2300, naweza kuangalia mpira hadi mwisho??
-Nimesoma mahali humu kwamba naweza kupata matangazo live ya vituo vya televisheni kupitia kwenye computer yangu ambayo ni Dell Optiplex GX 620. Je ninahitaji ku-install nini ili kupata matangazo hayo?? Je hicho ninachotakiwa ku-install naweza ku-download na ku-install?? Je nitakapopata matangazo hayo live ya TV nitalazimika kuweka Aerial ili kupata picha safi ama yanakuja yameishajichuja??
Wataalamu, nitashukuru kwa majibu yenu na natanguliza shukurani.