Soka la bongo longolongo

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Kuna uwezekano mkubwa kwamba endapo serikali ingewekeza kikamilifu katika michezo walau ingepunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira kwa vijana. Ni ukweli kuwa vijana wengi wana vipaji vya michezo ambavyo laiti kama vingeendelezwa wangefika mbali sana. Lakini soka letu, michezo yetu yote longolongo.
 
Back
Top Bottom