nashukuru mkuu kwa ushauri wako, sasa hiyo programming language nitajifunzaje?ni vigumu sana kuanza kutengeneza software 1 kwa moja kwa kuanza na software unayoitaka inabidi utumie muda wako kujifunza programming language hata moja unayoona itakufaa halafu unaenda kwenye software unayoitaka.
Anza kujifunza open software na tumia zaidi source codes zilizotumiwa kudevelop unix system na variants zake. Kwa kifupi anza kuhack source codes.