software ya ku operate simu kwenye PC

hujaeka vizuri swali ku operate kivipi unataka kuplay mafile ya simu kwenye pc au simu iwe detected kwenye pc sjaelewa
 
yaani nikiweka line kwenye modem niwe na uwezo wa kupiga na kupokea simu
 
hujaeka vizuri swali ku operate kivipi unataka kuplay mafile ya simu kwenye pc au simu iwe detected kwenye pc sjaelewa

niwe na uwezo wa kupiga na kupokea simu nikiweka line kwenye pc mjomba
 
weka line kwny modem thn ununue headphones zenye nyaya mbili moja ya kwny mic moja ya kwny speaker thn piga simu! Nadhn ndo ulimaanisha hvyo!
 
mbona hiyo ipo ila aifanyi kazi au kuna software yake
 
Back
Top Bottom